maombolezo

IQNA

IQNA-Serikali ya Iran imetangaza siku tatu za maombolezo kwa ajili ya kuwakumbuka waathiriwa, wakiwemo askari wa vikosi vya usalama na wa jeshi la kujitolea, ambao wameuliwa shahidi na magaidi wafanyaji fujo na vurugu wanaoungwa mkono na Marekani na utawala wa kizayuni wa Israel, waliojaribu kuteka nyara maandamano ya amani ya wananchi ya kulalamikia hali ya uchumi nchini.
Habari ID: 3481792    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/12

IQNA- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameshiriki kikao cha maombolezo ya kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatimatu-Zahra (SA), binti kipenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW na mke wa Amirul Muuminin Ali bin Abi Talib (AS), Imamu na Kiongozi wa Waislamu baada ya Mtume (SAW).
Habari ID: 3478047    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/17

TEHRAN (IQNA)- Katika siku za mwisho za Mwezi wa Safar wa mwaka 1422 Hijria Qamaria, ambazo pia ni siku za kukumbuka kifo cha Mtume Muhammad SAW na pia kuuawa shahidi Imam Hassan AS na Imam Ridha AS, Haram Takatifu ya Imam Ridha AS katika mji wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran iko katika mazingira ya majonzi na maombolezo .
Habari ID: 3473267    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/17

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametangaza siku tato za maombolezo ya kitaifa kufuatia vifo vya mamia ya mahujaji waliokuwa katika ibada ya Hija huko Mina, karibu na mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3367103    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/24