IQNA

Sherehe za kuidhinishwa rasmi rais Raeisi

17:11 - August 03, 2021
Habari ID: 3474154
Katika sherehe iliyofanyika leo mjini Tehran katikakatika Hussainiya ya Imam Khomeini (MA), Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei amemuidhinisha Ebrahim Raeisi kuwa rais wa nane wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Jina:
Baruapepe:
* maoni:
captcha