TEHRAN (IQNA) – Aya ya 4 ya Surah At-Tahrim imemtaja Mwenyezi Mungu kuwa ndiye anayemlinda Mtukufu Mtume (SAW) mbele ya vitimbi.

....basi hakika Mwenyezi Mungu ndiye Kiongozi Wake, na Jibrili, na Waumini wema, na zaidi ya hayo Malaika pia watasaidia.