Hayo ni kwa mujibu wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei akihutubia katika hadhara ya washiriki wa Kongamano la 37 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu, mabalozi wa nchi za Kiislamu nchini Iran na baadhi ya maafisa wa mfumo wa Kiislamu nchini Iran katika kikao kilichofanyika mjini Tehran tarehe 3 Oktoba katika mnasaba wa Maulidi au kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW) na Imamu Sadiq (AS).
3485456