IQNA

Dua za Kila Siku za Mwezi wa Ramadhani- Siku ya 28

8:08 - March 29, 2025
Habari ID: 3480460
IQNA-Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.

Day 28 of Ramadan: Today’s Special Supplication

Ewe Mwenyezi Mungu! Siku hii, zidisha hamu yangu katika kutenda mambo ya Nawafil (Sunna), na unukirimu ndani yake kuyatekeleza vyema mambo yangu ya wajibu,  njia zangu za kukufikia ziwe karibu miongoni mwa njia; Ewe usiyeshughulishwa na masisitizo ya waja wenye kusisitiza.

captcha