IQNA

Dua za Kila Siku za Mwezi wa Ramadhani- Siku ya Tatu

8:17 - March 04, 2025
Habari ID: 3480300
IQNA- Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.

 

Day 3 of Ramadan: Today’s Special Supplication

Ee Mwenyezi Mungu! Niruzuku katika mwezi huu uekevu na uzinduko, Uniepushe Ubaradhuli na upumbavu, na Unijaalie kupata fungu la kila heri itakayoshuka katika mwezi huu ewe Mbora wa wanaokarimu.

captcha