iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Kijana mwenye umri wa miaka 20, Amiru Yunusa, wa Jimbo la Bauchi ametangazwa kuwa mshindi wa Mashindano ya 23 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Nigeria yaliyofanyika katika jimbo la Katsina kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3471416    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/05

Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kamanda wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Mohammad Ali Jafari amesema mafanikio ya Iran ya Kiislamu yametokana na taifa hili kuzingatia na kushikamana na mafundisho ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471415    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/04

TEHRAN (IQNA)-Misikiti kadhaa nchini Uingereza imefungua milango kwa watu wasio na makao nchini humo bila kujali dini yao kufuatia baridi kali na theluji iliyovunja rekodi nchini humo na kupelekea watu zaidi ya 11 kupoteza maisha katika kipindi cha wiki moja.
Habari ID: 3471414    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/03

TEHRAN (IQNA)-Waandalizi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani nchini Tunisia wameiomba Iran imteue qarii na mtaalamu Qur’ani ili awe miongoni mwa jopo la majaji katika mashindano hayo.
Habari ID: 3471413    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/03

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mkutano na maulamaa wa Syria
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, " Ni matumaini yetu sote tutaiona siku ambayo mtasali sala la jamaa mjini Quds na siku hiyo haiko mbali tena bali itafika karibuni hivi, ni sawa tu kama watu kama sisi tutakuwa bado tupo au hatupo tena".
Habari ID: 3471412    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/02

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya Tisa ya Qur'ani ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Saudi Arabia yamekuwa yakiendelea mjini Jeddah tokea Februari 25.
Habari ID: 3471409    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/28

Mtaalamu wa Qur’ani kutoka Lebanon
TEHRAN (IQNA)-Mtaalamu wa Qur’ani Tukufu kutoka Lebanon amesema mitandao ya kijamii ni fursa ya kipekee ya kufundisha Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471408    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/27

TEHRAN (IQNA)- Wiki za hivi karibuni nchini Uingereza, mshambuliaji Muislamu na Mwarabu wa Timu ya Soka ya Liverpool katika Ligi Kuu ya maarufu kama EPL amevuma kwa umahiri na dini yake.
Habari ID: 3471405    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/26

TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ametoa wito kwa wananchi wa Lebanon kutowapigia kura wagombea wanaopata himaya ya Marekani katika uchaguzi ujao wa bunge huku akionya kuwa wanasiasa kama hao wasaliti watakaoikabidhi nchi kwa Marekani.
Habari ID: 3471403    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/25

TEHRAN (IQNA)-Idara ya Waqfu wa Ahul Sunna katika mkoa wa Diyala nchini Iraq imesema misikiti 109 imefunguliwa tena baada ya kufunguwa kwa miaka mitatu kutokana na hujuma ya magaidi wa ISIS au Daesh katika eneo hilo.
Habari ID: 3471402    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/24

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur'ani kwa waliosilimu yamefanyika hivi karibuni mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE.
Habari ID: 3471401    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/23

Bi. Sayeeda Hussain Warsi
TEHRAN (IQNA)-Baadhi ya vyombo vya habari vya Uingereza vina mtazamo hasi kuhusu Uislamu na Waislamu na hali hivi sasa ni mbaya zaidi ya ilivyokuwa mwaka 2011, amesema mjumbe Muislamu katika Bunge la Malodi la Uingereza Bi. Sayeeda Hussain Warsi
Habari ID: 3471400    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/22

TEHRAN (IQNA)-Hafidh wa Qur'ani Tukufu kutoka mji wa Mombasa nchini Kenya, Ustadh Haitham Sagar Ahmad anasema Qur'ani Tukufu ndio njia pekee ya kutatua matatizo katika maisha ya mwanadamu.
Habari ID: 3471399    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/21

TEHRAN (IQNA)- Kuna mpango wa kutumia 'Misikiti itembeayo' katika michezo ya Olympiki na Paralimpiki mjini Tokyo, Japan mwaka 2020 kwa lengo la kuwasahilishia Waislamu ibada.
Habari ID: 3471398    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/20

TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa upinzani Uingereza Jeremy Corbyn ametembelea misikiti kadhaa siku ya Jumapili na kukosoa vikali chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3471397    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/19

Mwanachama wa Jihad Islami
TEHRAN (IQNA)-Mwanachama wa ngazi za juu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina amewataja waliohifadhi Qur'ani Tukufu kuwa wao ni silaha katika kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3471396    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/18

TEHRAN-(IQNA)-Kundi la Kiislamu la GainPeace lenye makao yake katika mji wa Chicago nchini Marekani limezindua kampeni ya mabango yenye kuunga mkono hijabu kama vazi lenye kumpa uwezo mwanamke.
Habari ID: 3471395    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/17

Kiongozi wa Waumini, Ali AS amesema: Katika Ikhlasi ya nia kuna ushindi katika kazi. Ghurar al-Hikam wa Durar al-Kalim , Hadithi ya 6510
Habari ID: 3471394    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/17

Katika Sala ya Ijumaa Hyderabad, India
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu kote duniani, mbele ya utawala wa Kizayuni wa Israel na maadui wengine wa Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3471393    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/16

TEHRAN (IQNA)-Wapalestina wasiopungua 54 walipoteza maisha mwaka 2017 baada ya utawala haramu wa Israel kuwanyima vibali vya kupata matibabu nje ya eneo lililochini ya mzingiro la Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3471392    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/15