Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, ushahidi na nyaraka za kipelelezi zinaonesha kuwa machafuko ya hivi karibuni nchini Iran yalipangwa na pande tatu.
Habari ID: 3471349 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/10
TEHRAN (IQNA)-Fainali ya Mashindano ya Tisa ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Sudan imeanza Jumanne hii katika mji mkuu, Khartoum.
Habari ID: 3471348 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/09
TEHRAN (IQNA)-Jumuiya ya Kimataifa ya Vijana Waislamu imezawadia watu wa Djibouti nakala 15,000 za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471346 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/08
TEHRAN (IQNA)-Utawala wa Saudi Arabia unawazuia raia wa Qatar kutekeleza Ibada ya Umrah katika miji mitakatifu ya Makkah na Madinah.
Habari ID: 3471345 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/07
TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya nakala milioni 1.6 za Qur’ani Tukufu zimechapishwa katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kipindi cha miezi tisa iliyopita.
Habari ID: 3471344 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/06
Khatibu wa Sala ya Ijumaa
TEHRAN- (IQNA) Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema, fujo ambazo zimeshuhudiwa siku za hivi karibuni mjini Tehran zinaashiria kuwepo uchochezi wa Marekani na vibaraka wake.
Habari ID: 3471343 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/05
TEHRAN (IQNA)-Idadi ya Waislamu wanaoishi nchini Marekani inatazamiwa kuongezeka maradufu ifikapo mwaka 2050 na hivyo kuufanya Uislamu kuwa dini ya pili kwa ukubwa nchini humo.
Habari ID: 3471342 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/04
TEHRAN (IQNA)-Magaidi wakufurishaji wa Boko Haram wameuawa Waislamu 5,247 katika jimbo la Adamawa nchini Nigeria kati ya mwaka 2013 na 2017, ripoti ya shirika moja la Kiislamu imefichua.
Habari ID: 3471341 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/03
TEHRAN (IQNA)-Ujumbe wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) umepanga kutembelea kambi za wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya katika mji wa Cox’s Bazar nchini Bangladesh kuanzia Januari 3-6.
Habari ID: 3471340 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/02
TEHRAN (IQNA)-Wafungwa 21,000 wanaohudumu vifungo nchini Iran wamehifadhi Qur'ani Tukufu katika viwango mbali mbali.
Habari ID: 3471338 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/01
TEHRAN, (IQNA)-Mwanamke Muislamu, Aina Gamzatova, ametangaza kujitosa katika uchaguzi wa urais wa Russia Machi 2018 kwa lengo la kumuondoa madarakani Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo.
Habari ID: 3471335 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/01
TEHRAN (IQNA)-Baraza Kuu la Waislamu Kenya , Supkem, limetoa wito kwa serikali kuchukua hatua za kuzuia kusumbuliwa wasichana Waislamu wanaovaa Hijabu wakiwa shuleni.
Habari ID: 3471334 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/31
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Austria wamekosoa matamshi dhid iya vazi la Hijabu ambayo yametamkwa na waziri mpya wa elimu Heinz Fassmann.
Habari ID: 3471332 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/30
TEHRAN (IQNA)-Duru ya 35 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yatafanyika mwezi Aprili,2018, waandalizi wamesema.
Habari ID: 3471331 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/29
TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Sudan yanatazamiwa kufanyika wiki ijayo na yatakuwa na washiriki 70.
Habari ID: 3471330 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/29
…Na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu...
Qur'ani Tukufu Sehemu ya Aya ya 87 ya Surat al Al Baqara
Habari ID: 3471329 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/29
TEHRAN (IQNA)-Eneo la Catalonia nchini Uhispania limepata mwanamek wa kwanza Muslamu mbunge katika uchaguzi uliofanyika Alhamisi iliyopita na hivyo kufanya idadi ya wabunge Waislamu eneo hilo kuwa watatu.
Habari ID: 3471328 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/28
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani ndio utawala fisadi na dhalimu zaidi ulimwenguni.
Habari ID: 3471327 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/28
TEHRAN (IQNA)-Tarjumi ya kwanza ya Qur'ani kwa lugha Kirundi imezinduliwa nchini Burundi katika hatua ambayo imetajwa kuwa kihistoria tokea Uislamu uingie nchini humo.
Habari ID: 3471326 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/27
TEHRAN(IQNA)- Disemba 25 inasadifiana na siku aliyozaliwa Nabii Isa Masiih (as) kwa mujibu wa imani ya Wakristo waliowengi.
Habari ID: 3471325 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/26