TEHRAN (IQNA)- Ndege za kivita za utawala dhalimu wa Saudia Arabia zimedondosha mabomu katika maeneo ya raia ya mkoa wa Sa'ada kaskazini mwa Yemen nna kuua na kujeruhiwa raia 17 wakiwemo wanawake na watoto.
Habari ID: 3471440 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/22
TEHRAN (IQNA)- Moto mkubwa umeteketeza na kuharibu tena Kituo cha Kiislamu cha Eastside katika eneo la Bellevue, jimbo la Washington nchini Marekani, hii ikiwa ni mara ya pili eneo hilo la Waislamu kuteketezwa moto katika kipindi cha mwaka moja.
Habari ID: 3471439 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/22
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, katika miaka iliyopita, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeweza kupeperusha bendera ya izza, heshima na uwezo wa kitaifa katika eneo la Asia Magharibi na imekuwa na nafasi muhimu mno katika kuwasambaratisha wakufurishaji na kuleta amani na usalama.
Habari ID: 3471438 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/21
Imam Ali AS alisema: Pepo inapatikana kwa amali na wala si kwa kutamani. Ghurar Al-Hikam Wa Durar Al-Kalim Uk.350 Hadithi ya 4355
Habari ID: 3471437 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/21
TEHRAN (IQNA)- Nakala nadra ya na yake ya Qur’ani Tukufu iliyoandikwa karne 9 zilizopita imepatikana nchini Tunisia.
Habari ID: 3471435 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/19
TEHRAN (IQNA)- Tume wa Majeshi ya Kifederali Ujerumani, imetaka Maimamu waajiriwe katika jeshi la nchi hiyo ili kuwahudumia wanajeshi Waislamu.
Habari ID: 3471434 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/18
TEHRAN (IQNA) – Katika nchi za Kiislamu kwa kawaida huwa huwa hakuna tatizo kupata chakula au bidhaa halali.
Habari ID: 3471432 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/18
TEHRAN (IQNA)-Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu, OIC, Yousef bin Ahmad al-Othaimeen amekutana na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis na kumshukuru kwa msimamo wake kuhusu Waislamu Warohingya na suala la uhamiaji.
Habari ID: 3471431 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/17
TEHRAN (IQNA)- Njama ya watu wenye misimamo mikali ya kinazi ya kuushambulia kwa bomu msikiti Scotland nchini Uingereza imetibuliwa na mshukiwa kukamatwa.
Habari ID: 3471430 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/16
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya magaidi 19,000 wa ISIS (Daesh) wameuawa Iraq katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, amesema mkuu wa polisi nchini humo.
Habari ID: 3471429 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/15
TEHRAN (IQNA)- Kituo kipya cha Kiislamu kimefunguliwa katika mjini Mombasa, Kenya katika mtaa wa Majengo kwa lengo la kukabiliana na misimamo mikali ya kidini.
Habari ID: 3471428 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/14
TEHRAN (IQNA)- Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wameulaumu mtandao maarufu wa kijamii wa Facebook kuwa umehusika kwa uchochezi wa mauaji ya umati dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar.
Habari ID: 3471427 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/13
TEHRAN (IQNA)- Mesut Ozil mchezaji mashuhuri Mwislamu katika timu ya taifa ya soka ya Ujerumani amemjibu mwanasiasa anayeuchukia Uislamu ambaye alimkosoa kwa safari yake ya Umrah.
Habari ID: 3471425 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/11
TEHRAN (IQNA)- Watoto watu wa familia moja wamehifadhi Qur’ani kikamilifu nchini Misri pamoja na kuwa wamezaliwa wakiwa na ulemavu wa macho.
Habari ID: 3471424 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/10
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Hamburg kimetangaza washindi wa Mashindano ya Sita ya Kimataifa ya Qur’ani ya Waislamu wa Ulaya.
Habari ID: 3471423 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/09
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: wakati Marekani inajiingiza kila mahali kwa kuzusha fitna na kuleta ufisadi, kila mara inatilia shaka kuwepo na kujishughulisha Iran na masuala ya eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3471422 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/09
TEHRAN (IQNA)-Idadi ya Waislamu nchini Russia sasa imefika watu milioni 25 kati ya watu milioni 145 nchini humo, amesema Mufti Mkuu wa Russia Sheikh Rawil Gaynetdin.
Habari ID: 3471421 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/08
TEHRAN (IQNA)-Hali ya hatari imetangazwa kote Sri Lanka Jumanne baada ya magenge ya Mabuddha kuwahujumu Waislamu katika wilaya moja ya kati mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3471420 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/07
TEHRAN (IQNA)- Waandishi habari Wapalestina wameandamana nje ya ofisi ya Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Ghaza kulalamikia mwenendo wa mtandao wa kijamii wa Facebook kufunga akaunti za Wapaletina.
Habari ID: 3471419 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/06
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Marekani inapanga kuandaa mashindano ya Qur'ani kwa watu walemavu na wale wenye mahitajio maalumu.
Habari ID: 3471417 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/05