TEHRAN (IQNA) -Utawala dhalimu wa Israel umewaua kwa umati Wapalestina sambamba na hatua iliyo kinyume cha sheria za kufunguliwa ubalozi wa utawala wa Marekani katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3471515 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/16
TEHRAN (IQNA)- Taasisi katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeandaa mashindano ya Tarteel ya Qur'ani Tukufu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani maalumu kwa waliosilimu.
Habari ID: 3471514 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/15
TEHRAN (IQNA) – Maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Qur'ani ambayo hufanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani yamepangwa kuanza Mei 19.
Habari ID: 3471513 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/14
TEHRAN (IQNA)- Wapalestina wasiopungua 54 wameuawa shahidi baada ya kufyatuliwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3471512 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/14
TEHRAN (IQNA) – Idadi ya Waislamu barani Ulaya inatazamiwa kupanda na kufika asilimia 8 na asilimia 2.1 nchini Marekani ifikapo mwaka 2030, imesema ripoti ya Global Muslim Diaspora.
Habari ID: 3471511 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/13
KUALA LUMPUR (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya 60 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Malaysia wametangazwa leo Jumapili
Habari ID: 3471510 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/13
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, harakati ya elimu katika Ulimwengu wa Kiislamu inapaswa kuwa na kasi kubwa na kwa mara nyingine tena Umma wa Kiislamu ufikie kilele cha nguvu za kielimu na kiustaarabu ili maadui wa Uislamu wakiwemo Wamarekani washindwe kutoa amri kwa marais wa nchi za Kiislamu kwa kuwaambia fanyeni hili na msifanye lile.
Habari ID: 3471509 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/12
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hujuma iliyopelekea kuuawa muumini katika msikiti ulio karibu na mji wa Durban nchini Afrika Kusini.
Habari ID: 3471507 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/12
TEHRAN (IQNA)- Mahakama ya Leba mjini Berlin, Ujerumani imesema baraza la mji lina haki ya kumzuia mwalimu Mwislamu kuvaa Hijabu na hivyo kutupilia mbali malalamiko yake ya kubaguliwa.
Habari ID: 3471505 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/11
TEHRAN (IQNA)-Mkutano wa kimataifa wa kujadili changamoto za jamii za Waislamu waliowachache katika nchi zisizo za Kiislamu umefanyika.
Habari ID: 3471504 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/10
TEHRAN (IQNA)-Baraza la Mahusiano ya Kiislamu nchini Marekani (CAIR) limetoa wito kwa Waislamu kote Marekani kuchukua tahadhari katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3471503 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/09
KUALA LUMPUR (IQNA)- Mashindano ya 60 ya Kimataifa ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani Tukufu ya Malaysia yameanza Jumatatu katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiislamu kusini mashariki mwa Asia.
Habari ID: 3471501 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/08
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 17 wameuawa Jumapili kufuatia mlipuko wa bomu katika msikiti ambao ulikuwa pia unatumika kama kituo cha kuwasajili wapiga kura katika mkoa wa Khost kusini mashariki mwa Afghanistan.
Habari ID: 3471499 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/07
TEHRAN (IQNA) – Wapalestina wameweka kambi maalumu za kusoma Qur'ani katika maeneo ya 'Maandamano ya Kurejea' katika Ukanda wa Ghaza pamoja na kuwa wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wamekuwa wakiwafyatulia risasi na kuwaua Wapalestina.
Habari ID: 3471498 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/06
TEHRAN (IQNA)-Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) imeahidi kuchukua hatua imara kutatua kadhia ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wanaokandamizwa nchini Myanmar huku wengi wao wakikimbilia Bangladesh kuokoa maisha yao.
Habari ID: 3471497 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/06
TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Ghana kimeandaa mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qur'ani pamoja na adhana.
Habari ID: 3471496 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/05
TEHRAN (IQNA) –Waislamu wa mji mkuu wa Australia, Canberra wana sababu ya kutabasamu kufuatia kufunguliwa msikiti mpya katika mji huo baada ya jitihahada za muda mrefu.
Habari ID: 3471495 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/05
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur’ani ya kimataifa yanayofanyika kwa njia ya moja kwa moja kupitia Televisheni ya Al Kauthar ya Iran yamepangwa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani siku chache zijazo.
Habari ID: 3471494 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/05
TEHRAN (IQNA)- Watu wanaouchukua Uislamu na Waislamu wanauhujumi msikiti huko Scotland nchini Uingereza na kutupa vipande vya nyama ya nguruwe mlangoni.
Habari ID: 3471492 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/03
TEHRAN- (IQNA)- Watu zaidi ya 60 wameuawa katika hujuma mbili za kigaidi zilizolenga msikiti na soko kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 3471491 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/02