TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Marekani wamepanga kuswali mbele ya Ikulu White House mjini Washington DC na kisha kufanya maandamano makubwa ya kulalamikia ubaguzi wanaotendewa na utawala wa Rais Donald Trump.
Habari ID: 3471369 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/24
TEHRAN (IQNA)-Mkutano wa Nne wa Idhaa za Qur'ani duniani umepangwa kufanyika mjini Cairo, Misri kuanzua Januari 28-30.
Habari ID: 3471368 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/23
TEHRAN (IQNA)-Baraza la Waislamu Uingereza (MCB) limetangaza kuanzisha mpango mpya wa kukabiliana na ugaidi.
Habari ID: 3471366 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/22
TEHRAN (IQNA)-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapanga kuandaa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya wanafunzi Waislamu katika mwezi wa Aprili sambamba na Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran.
Habari ID: 3471365 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/22
TEHRAN (IQNA)-Watu wasuijulikana wameuhujumu msikiti wa eneo la kati mwa mji mkuu wa Sweden, Stockholm Ijumaa usiku na kuchora nembo za kinazi.
Habari ID: 3471364 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/21
TEHRAN (IQNA)-Muhula wa kuwasilisha makala katika Kongamano la 11 la Kimataifa la Masomo ya Qur'ani Iran umeongezwa hadi Machi 11.
Habari ID: 3471363 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/20
TEHRAN (IQNA)-Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni Waislamu (IUMS) imelaani tawala za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa kuendelea kuwashikilia kinyume cha sheria wahubiri wa Uislamu.
Habari ID: 3471362 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/20
IQNA (TEHRAN)-Serikali ya Bangladesh inasema wakimbizi Waislamu Warohingya waliopata hifadhi nchini kufuatia ukatili wanaotendewa nchini Myanmar sasa wamefika milioni moja na idadi hiyo ni kubwa zaidi ya ile ambayo imekuwa ikitajwa katika vyombo vya habari.
Habari ID: 3471360 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/19
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Korea Kusini sasa wamerahisishiwa njia za kupata chakula halali kupitia aplikesheni ya simu za mkononi ijulikanyao kama Crave Halal ambayo pia ina tovuti ya intaneti.
Habari ID: 3471359 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/18
TEHRAN (IQNA)-Duru ya Tatu ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wenye Ulemavu wa Macho imepangwa kufanyika hapa nchini Iran mwezi Aprili.
Habari ID: 3471358 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/31
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Marekani imekuwa ikifanya "ufidhuli mkubwa" kuhusu Quds Tukufu (Jerusalem) na kuongeza kuwa njama zake hizo hazitafika popote.
Habari ID: 3471357 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/17
TEHRAN (IQNA)-Mji wa Cape Town nchini Afrika Kusini unatekeleza sera za kuwavutia watalii wa tamaduni na dini mbali mbali na kwa msingi huo kuna mpango maalumu wa kuwavutia watalii Waislamu katika fremu ya Utalii Halali.
Habari ID: 3471356 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/16
TEHRAN (IQNA)-Hafidh wa Qur'ani Tukufu kutoka Morocco ametangazwa mshindi katika Mashindano ya Tisa ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Sudan na kutunukiwa zawadi yake Jumamosi usiku.
Habari ID: 3471355 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/15
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria ambaye kwa miaka miwili sasa anashikiliwa kinyume cha sheria, kwa mara ya kwanza jana alionekana hadharani alipohojiwa na waandishi habari.
Habari ID: 3471354 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/14
TEHRAN (IQNA)-Nchini Canada, binti Muslamu mwenye umri wa miaka 11 ameshambuliwa na Hijabu yake kuraruliwa wakati akiwa njiani kuelekea shuleni katika tukio la hujuma ya chuki dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3471352 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/13
TEHRAN (IQNA)- Baraza la Mahusiano ya Kiislamu nchini Marekani (CAIR) lina mpango wa kutoa mafunzo maalumu ya njia za kukabiliana na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3471351 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/12
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Tariqa Muridiyyah (aṭ-Ṭariqat al-Muridiyyah) ya Senegal Sheikh (Serigne) Sidy Mokhtar Mbacke ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 94.
Habari ID: 3471350 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/11
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, ushahidi na nyaraka za kipelelezi zinaonesha kuwa machafuko ya hivi karibuni nchini Iran yalipangwa na pande tatu.
Habari ID: 3471349 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/10
TEHRAN (IQNA)-Fainali ya Mashindano ya Tisa ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Sudan imeanza Jumanne hii katika mji mkuu, Khartoum.
Habari ID: 3471348 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/09
TEHRAN (IQNA)-Jumuiya ya Kimataifa ya Vijana Waislamu imezawadia watu wa Djibouti nakala 15,000 za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471346 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/08