iqna

IQNA

Mogadishu
TEHRAN (IQNA) - Kwa uchache watu 8 wameuawa na wengine zaidi ya 15 wamejeruhiwa hii leo katika mlipuko wa bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari karibu na shule moja katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu .
Habari ID: 3474598    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/25

TEHRAN (IQNA) – Watu wasiopungua 100 wameuawa mapema Jumamosi na wengine wengi kujeruhiwa hujuma ya kigaidi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu .
Habari ID: 3472312    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/29