TEHRAN (IQNA) – Baraza la Fiqhi ya Amerika Kaskazini imetangaza kuwa Ijumaa Aprili 24 itakuwa siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472659 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/12
Mkutano wa 10 wa wakuu wa Vituo vya Kiutamaduni na Jumuiya za Kiislamu Amerika ya Latini na Caribbean wanatazamiwa kukutana Buenos Aires, mji mkuu wa Argentina.
Habari ID: 3363351 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/16
Shirika la Mawasiliano na Utamaduni wa Kiislamu Iran (ICRO) limetayarisha tarjama ya Barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa lugha 21 duniani.
Habari ID: 2910931 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/28
Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini akisema kuwa, matukio ya hivi karibuni nchini Ufaransa na matukio yanayoshabihiana na hilo katika baadhi ya nchi za Magharibi yamemlazimisha azungumze nao moja kwa moja.
Habari ID: 2747324 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/22