IQNA – Semina ya mtandaoni imepangwa kufanyika usiku wa leo kumkumbuka marehemu Abdolrasoul Abaei, msomi mashuhuri wa Qur'ani kutoka Iran.
Habari ID: 3480617 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/30
IQNA – Baadhi ya mashekhe wakubwa wa Qur’ani kutoka Misri wametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Abdolrasoul Abaei, mtaalamu mashuhuri wa Qur’ani nchini Iran.
Habari ID: 3480538 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/14
TEHRAN (IQNA)- Rais Joe Biden wa Marekani amemteua Mpakistani-Mmarekani, Zahid Qureishi kuwa jaji wa mahakama katika ngazi ya fiderali nchini humo.
Habari ID: 3473789 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/06
TEHRAN (IQNA)- Jaji wa kwanza Muislamu mwenye kuvaa Hijabu ameteuliwa katika mfumo wa mahakama nchini Uingereza.
Habari ID: 3472794 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/23
Mwanamke Marekani Muislamu mwenye asili ya Afrika ameapishwa kwa kutumia Qurani kuwa jaji, katika jimbo la Brooklyn.
Habari ID: 3463116 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/14