iqna

IQNA

Ennahda
Siasa
Kampeni imeanzishwa na wasomi wa Kiislamu wanaotaka kuachiliwa kwa wafungwa wa kisiasa nchini Tunisia. Miongoni mwa wafungwa wa kisiasa ni kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Ennahda , Rashid Ghannouchi.
Habari ID: 3477123    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/09

Hali ya Tunisia
TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Kiislamu ya Ennahda ya Tunisia ilizitaja hukumu zilizotolewa dhidi ya mkuu wa kambi ya Muungano wa ‘Heshima’, Seifeddine Makhlouf, wakili Mahdi Zaqrouba na wabunge kadhaa wa muungano huo kuwa "zisizo za haki na mfano hatari".
Habari ID: 3476464    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/25

TEHRAN (IQNA) – Vyama vitano vya kisiasa nchini Tunisia vimezindua mpango wa kupiga kura ya kutokuwa na imani na spika wa bunge la nchi hiyo Rached Ghannouchi ambaye anatuhimiwa kupembelea upande mmoja.
Habari ID: 3472959    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/13