iqna

IQNA

HEBDO
TEHRAN (IQNA) - Mjumbe wa chama chenye misimamo mikali cha Stram Kurs (Msimamo Mkali) nchini Denmark amekivujia heshima kitabu kitakatifu cha Qur'ani kwa kuchoma moto nakala ya kitabu hicho katika kitongoji cha wabaguzi wa rangi cha Rinkeby mjini Stockholm
Habari ID: 3473158    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/11

TEHRAN (IQNA) - Wananchi wa Iran wanaendelea kufanya maandamano katika maeneo mbali mbali kupinga hatua ya kuvunjia heshima Mtume Muhammad SAW nchini Ufaransa.
Habari ID: 3473156    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/10

TEHRAN (IQNA)- Makumi ya maelefu ya watu wameandamana kote Pakistan katika siku za hivi karibuni kulaani hatua ya jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo kuchapisha tena katoni zinazomvunjia heshima Mtume Muhammad SAW
Habari ID: 3473153    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/09

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelaani vikali hatua ya jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo ya kuchapisha tena vibonzo vinavyomvunjia heshima Mtume Muhammad SAW na kusisitiza kuwa: Njama hizo za Marekani na utawala wa Kizayuni ni dhambi isiyosameheka.
Habari ID: 3473148    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/08

TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali hatua ya jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo ya kuchapisha tena vibonzo vinavyomvunjia heshima Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3473135    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/04

TEHRAN (IQNA) - Kwa mara nyingine tena jarida hilo la Kifaransa la Charlie Hebdo limeamua kwa makusudi kuwafanyia kejeli na istihzai Waislamu na dini tukufu ya Uislamu kwa kuchapisha vibonzo vyenye kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu.
Habari ID: 3473129    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/02

Waislamu na hata wasiokuwa Waislamu duniani wanaendelea kulaani kitendo cha hivi karibuni cha jarida moja la Ufaransa la Charlie Hebdo kuchora vibonzo vinavyomvunjia heshima Mtumu Mtukufu wa Uislamu, Mohammad SAW.
Habari ID: 2766561    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/26

Waislamu wa kila pembe duniani wameendelea kulaani vikali kitendo cha jarida linalochapishwa Ufaransa la Charlie Hebdo cha kuchapisha tena picha za vikatuni vya kumvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 2720426    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/18

Stephen Le Foll, Msemaji wa serikali ya Ufaransa ametembelea na kukagua msikiti ulioko katika eneo la Port- la- Nouvelle kusini mwa nchi hiyo. Taarifa zinasema kuwa, msikiti huo ulishambuliwa kwa maguruneti matatu.
Habari ID: 2700801    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/12