iqna

IQNA

oxfam
TEHRAN (IQNA) - Shirika la misaada ya kibinadamu la Oxfam lenye makao makuu yake nchini Uingereza limesema nchi 20 zenye uchumi mkubwa zaidi duniani (G20) zimeiuzia Saudi Arabia silaha zenye thamani ya dola bilioni 17 tangu Riyadh ianzishe vita dhidi ya Yemen mwaka 2015, lakini nchi hizo wanachama wa kundi la G20 zimeipa Yemen thuluthi moja ya fedha hizo kama msaada.
Habari ID: 3473370    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/18