iqna

IQNA

IQNA – Msanii mmoja kutoka Iran ameielezea namna uzuri wa kiroho wa Qur’an Tukufu unavyoendelea kumvutia na kumtia hamasa katika kazi yake ya sanaa ya kitamaduni ya tadhib au tazhib (mapambo ya Qur’an kwa dhahabu), ambayo ni miongoni mwa sanaa za Kiislamu za kale zinazotumika kupamba kurasa za Qur’an Tukufu.
Habari ID: 3480736    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/25

IQNA – Jumba la Kitaifa la Makumbusho la Sanaa la Isfahan, lililozinduliwa mnamo Februari 2022, liko ndani ya jengo la kihistoria kutoka enzi ya mwisho ya utawala wa Qajar.
Habari ID: 3480720    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/21

Watetezi wa Palestina
IQNA - Maonyesho ya vibonzo vinavyoonyesha vipengele tofauti vya jinai za utawala wa Israel yalizinduliwa katika mji mkuu wa Uturuki wa Ankara.
Habari ID: 3479566    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/09

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Kazi tisini zilizochaguliwa za sanaa zinaonyeshwa katika sehemu ya sanaa ya Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran.
Habari ID: 3478566    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/24

Waislamu Australia
CANBERRA (IQNA) – Khaled Sabsabi, msanii anayeishi Magharibi mwa Sydney ambaye amejaribu kuwapa sauti wahamiaji Waislamu wasiosikika, ameshinda tuzo ya ubunifu wa sanaa ijulikanayo kama Creative Australia Visual Arts Award.
Habari ID: 3477621    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/18

Msanii wa Afghanistan
TEHRAN (IQNA) – Msanii wa Afghanistan, Hakima Qanbari amesema lugha ya sanaa huwasilisha ujumbe bila maneno, na kuongeza kuwa kazi za sanaa za Qur’ani zinawavutia wasio Waislamu.
Habari ID: 3476860    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/13

TEHRAN (IQNA) – Jumba la Makumbusho la Sanaa za Kiislamu Cairo, Misri ni hifadhi kubwa zaidi ya athari za sanaa za Kiislamu duniani.
Habari ID: 3473375    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/19

Maonyesho ya Sanaa za Kiislamu yenye anuani ya 'Mbegu ya Amani' yanafanyia Lagos nchini Nigeria katika Jumba la Makumbusho ya Kitaifa.
Habari ID: 3357526    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/02

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya udharura wa kutumiwa vyema sanaa ya mashairi kwa ajili ya kutoa miongozo kwa walengwa.
Habari ID: 3322405    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/02