iqna

IQNA

qibla
Jamii
TEHRAN (IQNA) - Mwaka mmoja uliopita, ilifichuliwa kwamba qibla cha msikiti wenye umri wa miaka 40 katika Wilaya ya Gurcamlar ya Milas, Mugla, nchini Uturuki kilikuwa na makosa. Mwaka mmoja uliopita, ilifichuliwa kwamba qibla cha Msikiti wa Gurcamlar Mahallesi, uliojengwa katika miaka ya 1980, kilikuwa kimeelekea eneo ambalo si Makka.
Habari ID: 3477411    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/10

Qur'ani Inasemaje /12
TEHRAN (IQNA) – Vigezo vya utendaji wema vimetajwa katika aya moja ya Qur’ani Tukufu na vinaangazia vyema mtazamo wa Qur’ani Tukufu kuhusu jinsi Waislamu wanavyopaswa kuwa na tabia na imani wanazopaswa kuwa nazo.
Habari ID: 3475437    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/28

TEHRAN (IQNA)- Mufti wa Mji wa Quds (Jerusalem) na Palestina amelaani vikali matamshi ya mbunge mmoja nchini Marekani ambaye ametaka Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds uvunjwe.
Habari ID: 3474671    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/14

TEHRAN (IQNA) – Mufti wa Quds (Jerusalem) amelaani vikali hatua ya Walowezi wa Kizayuni kuuhujumu Msikiti wa Al Aqsa mjini humo na kuweka nembo ya Kiyahudi ya Menorah katika msikiti huo.
Habari ID: 3473464    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/17

Aplikesheni za kusoma Qur’ani Tukufu zinaendelea kupata umashuhuri katika nchi za Kiislamu na hata nchi zisizokuwa za Kiislamu kote duniani.
Habari ID: 3428150    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/01