iqna

IQNA

katoliki
Wenyeji asili wa Canada
TEHRAN (IQNA)- Wenyeji asili wa Canada wanasisitiza kuwa Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki anapaswa kuomba radhi kufuatia ugunduliwa makaburi ya mamia ya watoto wa Wacanada asili waliokuwa wakishikiliwa kwa lazima katika shule za wamishonari wa Ki katoliki nchini humo.
Habari ID: 3474340    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/25

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Kiislamu nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali Sistani amekutana na Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ambapo katika mji mtakatifu wa Najaf, Iraq.
Habari ID: 3473707    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/06

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Francis ametoa wito kwa viongozi wa dini mbalimbali nchini Kenya kuzidisha ushirikiano na urafiki miongoni mwao ili kuepusha fitina za kidini na kimadhehebu.
Habari ID: 3457358    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/26

Kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Nabii Issa AS
Tehran (IQNA)-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameelezea matumaini yake kuwa mwaka wa 2015 utakuwa mwaka wa uhuru, ustawi, kustahamiliana, umoja na amani kwa watu wote duniani.
Habari ID: 2626708    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/25