iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Mayahudi wengine 300 wa Ethiopia ambao ni maarufu kwa jina la Ma falasha wamehamia katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina ambazo zimepewa jina bandia la Israel.
Habari ID: 3473730    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/12