Mwanamichezo Muislamu
IQNA-Wachezaji wa Manchester United, moja ya timu kubwa katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) waliamua kutovaa vazi la Adidas linalounga mkono ufuska wa watu wenye uhusiano wa jinsia moja wakati wa mechi dhidi ya Everton Jumapili iliyopita, ikiwa ni hatua ya kumuunga mkono mchezaji mwenzao Muislamu, Noussair Mazraoui, ambaye alikuwa wa kwanza kukataa kufanya hivyo.
Habari ID: 3479860 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/05
Kadhia ya Palestina
Anwar El Ghazi ameshinda kesi dhidi ya klabu ya Ujerumani ya Bundesliga Mainz 05, ambayo ilikatisha kandarasi yake kwa kuunga mkono Palestina, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya Ujerumani.
Habari ID: 3479119 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/14
Ahmed Refaat Afariki Dunia
Mchezaji wa kimataifa wa Misri Ahmed Refaat alifariki kutokana na matatizo baada ya mshtuko wa moyo.
Habari ID: 3479088 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/08
TEHRAN (IQNA)- Mchezaji chipukizi wa timu ya kandanda ya Arsenal ya Uingereza kutoka Ghana, Thomas Partey amesilimu na kuwa Muislamu, kulingana na picha zilizochapishwa na akaunti ya "Muslim Athletes" kwenye mtandao wa Instagram.
Habari ID: 3475057 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/20
TEHRAN (IQNA) – Mchezaji maarufu wa soka wa timu ya Ligi Kuu ya England, Mohammad Salah ameonekana akisoma Qur’ani Tukufu akiwa ndani ya ndege.
Habari ID: 3473758 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/24