iqna

IQNA

khatibzadeh
Msikiti wa Al Aqsa wahujumiwa
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhurii ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali hatua ya Wazayuni ya kuuvunjia heshima msikiti mtakatifu wa al-Aqsa ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu. Msikiti huo uko katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3475313    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/30

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi mdogo wa Sweden mjini Tehran na kumfahamisha kuhusu malalamiko makali ya Iran kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na kundi moja lenye misimamo mikali nchini Sweden katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475136    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/18

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema serikali ya Sweden inapaswa kuwajibika kuhusu kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3475132    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/17

TEHRAN (IQNA)- Mazungumzo baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Ufalme wa Saudi Arabia yanaendelea vizuri kwa lengo la kutatua matatizo yaliyopo baina ya pande mbili.
Habari ID: 3474386    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/05

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
TEHRAN (IQNA)-Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa katika miezi michache iliyopita kumefanyika mawasiliano ya mara kwa mara kati ya Iran na Saudi Arabia na kuongeza kuwa, mazungumzo mazuri yamefanyika juu ya maswala yanayozihusu pande mbili.
Habari ID: 3474336    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/24

TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali hujuma ya Wazayuni dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa wakati Wapalestina walipokuwa katika eneo hilo takatifu.
Habari ID: 3473887    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/08