Muqawama
IQNA - Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amefafanua jinsi kiongozi wa harakati hiyo aliyeuawa shahidi, Yahya Sinwar , alivyowaheshimu sana wahifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3479695 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/03
Muqawama
IQNA - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema uungaji mkono wa nchi za Magharibi kwa vita vya mauaji ya kimbari vya Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza umefichua unafiki wao na nukata hiyo inaashiria kushindwa kukubwa kwao.
Habari ID: 3479638 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/23
Muqawama
IQNA - Mchambuzi wa kisiasa wa Lebanon ameuelezea shahidi Yahya Sinwar kama kamanda wa muqawama wa kupigiwa mfano ambaye alifanya juhudi bila kuchoka katika njia ya umoja wa Kiislamu wa Jihadi.
Habari ID: 3479621 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/20
Muqawama
IQNA - Kufuatia kuuawa shahidi mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina,Hamas, Yahya Sinwar , harakati hiyo imewataka Waislamu kuswalia shahidi huyo na kuandaa maandamano ya kuupinga vikali dhidi ya utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3479616 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/19
Rambirambi
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kufuatia kuuawa shahidi kamanda shujaa wa Mujahidina, Yahya Sinwar , Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, HAMAS, na kusisitiza kuwa: "Kama vile safu ya Muqawama (mapambano ya Kiislamu) haikuacha kusonga mbele kwa kuuawa shahidi shakhisia wake mashuhuri, vivyo hivyo haitakoma kwa kuuawa shahidi Sinwar ."
Habari ID: 3479615 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/19
Muqawama
IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, Yahya Sinwar amemuandikia barua kiongozi wa harakati ya Hizbullah Sayyed Hassan Nasrallah, akiahidi kwamba harakati hiyo ya muqawama au mapambano ya Kiislamu "itasalia imara" katika njia ya kuushinda utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3479428 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/13
Muqawama
IQNA-Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imemteua Yahya Sinwar kuwa Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati hiyo ya muqawama, kujaza nafasi iliyoachwa wazi na hayati Ismail Haniya.
Habari ID: 3479247 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/08
Muqawama
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imemteua Yahya Sinwar kuwa Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati hiyo ya muqawama, kujaza nafasi iliyoachwa wazi na marehemu Ismail Haniyah.
Habari ID: 3479240 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/07
TEHRAN (IQNA)- Wafungwa watano Waplaestina wameanza mgomo wa kususia chakula katika magereza ya kuogofya ya utawala wa Kizayuni wa Israel kama kwa lengo la kulalamikia kushikiliwa gerezani bila ya kubainika makosa yao.
Habari ID: 3474105 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/16