iqna

IQNA

IQNA – Wanazuoni wa Kiislamu kutoka sehemu mbalimbali za ulimwengu wa Kiislamu waliokutana katika mji mtakatifu wa Makka wamefikia muafaka  kuhusu Ensiklopidia ya Makubaliano ya Kifikra ya Kiislamu pamoja na Mpango wa Mkakati wa kuimarisha Umoja kati ya Madhehebu za Kiislamu.
Habari ID: 3480344    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/10

IQNA-Rais Masoud Pezeshkian wa Iran sambamba na kuwapongeza viongozi na mataifa ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani, ametoa mwito kwa nchi za Kiislamu kuutumia mwezi huu wa baraka kama chachu ya kuimarisha umoja , mshikamano na ushirikiano miongoni mwao.
Habari ID: 3480297    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/03

Diplomasia ya Kiislamu
IQNA-Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu ametoa wito kwa nchi za Kiislamu kuunda umoja na kujitahidi kuungana ili kufikia ustaarabu mpya wa Kiislamu.
Habari ID: 3479894    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/13

Kadhia ya Palestina
IQNA-Harakati ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, yenye makao yake huko Gaza imesema imetia saini makubaliano mjini Beijing na makundi mengine ya Palestina, ikiwa ni pamoja na Fat'h, kufanya kazi pamoja kwa ajili ya " umoja wa kitaifa."
Habari ID: 3479173    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/23

Watetezi wa Palestina
IQNA - Mufti Mkuu wa Tajikistan amesisitiza ulazima wa kuwepo umoja katika ulimwengu wa Kiislamu ili kuiokoa Palestina kutokana na ukandamizaji na kukaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3478277    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/30

Ibada ya Hija na kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) - Kongamano kuhusu kadhia ya Palestina na wajibu wa Umma wa Kiislamu kuhusu Palestina lilifanyika katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3475463    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/05

Mwanazuoni wa Ahul Sunna nchini Iran
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni mwandamizi wa Kisunni nchini Iran na mjumbe wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu yanaweza kutatuliwa kwa umoja .
Habari ID: 3475419    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/24

TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na maulamaa na wanazuoni wa Ahul Sunna wal Jamaa nchini Iran na kusisitiza kuwa umoja wa Shia na Sunni ni suala la kimkakati huku akitilia mkazo umuhimu wa kuzuia kujipenyeza wakufurishaji nchini.
Habari ID: 3475255    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/15

Msomi wa Lebanon
TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini Lebanon amesema kuna haja ya kupitishwa sheria za kimataifa ambazo zinapiga marufuku uibuaji mifarakano na migongano baina ya wafuasi wa madhehebu mbali mbali za Kiislamu.
Habari ID: 3474620    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/30

TEHRAN (IQNA)- Baraza la Jamii za Waislamu Duniani limeakhirisha Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu la Umoja wa Falme za Kiarabu baada ya kuibuka aina mpya ya kirusi cha COVID-19 ijulikanayo kama Omicron.
Habari ID: 3474618    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/29

TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni wa ngazi za juu wa Kiislamu ametoa wito wa kudumishwa umoja wa umma wa Waislamu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili kukabiliana na njama za maadui.
Habari ID: 3473847    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/25

Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA) - Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ametuma ujumbe wa salamu za pongezi, kheri na baraka kwa Maspika wa Mabunge ya nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia mfungo wa mwezi mtukuufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473812    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/14

Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA)-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataka mataifa ya Waislamu kuungana na kusimama imara kukabiliana na siasa za chuki za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3471749    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/24

Kwa munasaba wa kuanza Wiki ya Umoja wa Kiislamu
IQNA-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uwepo wa dini na madhehebu mbali mbali hapa nchini umesaidia kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa.
Habari ID: 3470737    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/12

IQNA-Waislamu wa madhehebu ya Shia na Sunni nchini Tanzania wameshiriki katika matembezi ya pamoja kisha wakaswali sala ya Jamaa kwa munasaba wa kukumbuka kuaga dunia Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3470708    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/01

Kauli mbiu ya Siku ya Misikiti Duniani
Kauli mbiu ya Siku ya Kimataifa ya Misikiti mwaka hii imetajwa kuwa ni ‘Misikiti, Mhimili wa Umoja wa Ummah wa Kiislamu.
Habari ID: 3470532    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/19

Mwanazuoni wa ngazi za juu Iran amempongeza Sheikh Mkuu wa Al Azhar kwa jitihada zake za kuleta umoja wa Waislamu.
Habari ID: 3470490    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/02

Siku kama hii, 25 Mfunguo Mosi Shawwal, miaka 1289 iliyopita kulingana na kalenda ya Hijria, Imam Ja'far Swadiq AS mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW aliuawa shahidi kwa kupewa sumu kwa amri ya Mansur Dawaniqi mtawala dhalimu wa Bani Abbas.
Habari ID: 3470485    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/31

Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran
Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Muhammad Javad Zarif amesema Waislamu wanapaswa kuungana ili kuonyesha nchi za Magharibi kuwa wanaweza kupambana na ugaidi na misimamo mikali ya kidini.
Habari ID: 3470408    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/22

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran ametoa wito kwa mataifa yote ya Waislamu kuwa na umoja mbele ya njama za ustikbari na Uzayuni wa kimataifa dhidi ya Dini Tukufu ya Uislamu.
Habari ID: 3470392    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/17