iqna

IQNA

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa moyo na fikra za kimapinduzi, ushujaa, ujasiri na uchapakazi, kuona mbali, ubunifu, kuwa na matarajio ya mustakbali mwema, kutoogopa na kutosalimu amri mbele ya adui vitatatua matatizo ya nchi hii.
Habari ID: 3470648    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/02

Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa ugaidi ni miongoni ma masaibu yanayoiumiza sana jamii ya mwanadamu.
Habari ID: 3470637    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/27

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema nchi zenye misimamo huru zinapaswa kuimarisha uhusiano baina yao na kutoathiriwa na siasa za madola ya kibeberu na Kiistikbari ili kuweza kuzima moto wa hitilafu na mapigano uliowashwa na madola hayo.
Habari ID: 3470635    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/25

Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Iran
Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuhusu ulazima wa majeshi nchini kujiimarisha kiitikadi, kielimu na kinidhamu sambamba na kuwapa wanajeshi vijana uzoefu wa zama za Kujihami Kutakatifu.
Habari ID: 3470584    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/28

Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma Ujumbe muhimu kwa Waislamu duniani na hasa Mahujaji wa Nyumba tukufu ya Allah mwaka huu 1437 Hijria). Ifuatayo ni matini kamili ya ujumbe huo.
Habari ID: 3470550    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/05

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameainisha malengo ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu kwa ajili ya kuifanya Iran kuwa na nguvu, heshima na huru na kusema kuwa vyuo vikuu ni msingi mkuu wa kufanikisha malengo hayo.
Habari ID: 3470398    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/19

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema madola ya Magharibi yakiongozwa na Marekani yanataka kulidhibiti eneo la Magharibi mwa Asia kupitia vita vikubwa na vipana dhidi ya mrengo wa Uislamu.
Habari ID: 3470283    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/01