iqna

IQNA

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, kuiridhia Marekani au dola jengine lolote lile kwa ajili ya kuepukana na vikwazo ni kosa kubwa na pigo kwa nguvu za kisiasa.
Habari ID: 3475030    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/10

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kulinda na kuhifadhi miti ni kazi muhimu sana ambayo inapaswa kufanywa
Habari ID: 3475016    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/06

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, muqawama (mapambano ya Kiislamu) unaokua na kuzidi kupata nguvu katika eneo la Asia Magharibi umesambaratisha kiburi na majigambo ya ubeberu.
Habari ID: 3474937    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/17

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo amekutana na makamanda wa Jeshi la Anga na Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ambako amesisitiza kuwa kuna udharura wa kufanyika Jihadi ya haraka ya kueleza na kubainisha ukweli na uhalisia wa mambo.
Habari ID: 3474906    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/08

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, jihadi ya wajasiriamali na wafanyakazi wa viwandani katika ngome ya uzalishaji imeifanya Marekani ikiri kuwa imeshindwa katika vita vyake vya kiuchumi.
Habari ID: 3474870    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/30

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewataka wasomaji wa tungo za mashairi ya kuwasifu Ahlul-Bayt (AS) kutumia nafasi waliyonayo kwa ajili ya kukabiliana na propaganda za vyombo vya habari dhidi ya taifa la Iran.
Habari ID: 3474843    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/23

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amesema maadui walidhani kuuawa shahidi kamanda shujaa katika vita dhidi ya ugaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimaini kungekuwa tishio kwa Iran lakini watu wa Iran wamegeuza tukio hilo kuwa fursa kutokana na imani yao ya kidini.
Habari ID: 3474784    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/09

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), ndiye shakhsia mkubwa zaidi si tu ndani ya Iran, bali katika Umma wote wa Kiislamu.
Habari ID: 3474753    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/01

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe wa hongera na pole kufuatia kuaga dunia kwa namna ya kufa shahidi Hasan Irlu, balozi mwanajihadi na mchapakazi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Yemen.
Habari ID: 3474710    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/23

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria jinai zilizofanywa na dikteta wa Iraq Saddam dhidi ya watu wa Iran na akasema: Saddam alikuwa akifanya jinai hizo kwa msukumo na uungaji mkono wa wanaojigamba kuwa watetezi wa haki za binadamu duniani.
Habari ID: 3474631    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/02

TEHRAN (IQNA)- a Iran unaweza kuandaa uwanja wa kujaza mapengo ya kielimu ya nchi na ikawezekana kuvuka mipaka ya kimataifa ya kielimu, na hivyo kuleta ustaarabu mpya wa Kiislamu na kuwa na mustakabali unaong’ara.
Habari ID: 3474568    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/17

TEHRAN (IQNA)- Maombolezo ya kukumbuka mwaka alipouawa shahidi Imam Ali bin Musa al Ridha AS, Imam wa Nane wa Waislamu wa Kishia duniani yamefanyika katika Husainia ya Imam Khomeini MA hapa mjini Tehran na kuhudhuriwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
Habari ID: 3474392    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/07

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema uingiliaji na uwepo wa askari vamizi wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) ni chanzo cha mfarakano na uharibifu katika kanda hii.
Habari ID: 3474375    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/03

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaunga mkono taifa madhulumu la Waislamu la Afghanistan katika hali yoyote ile." Aidha ameongeza kuwa, uhusiano wa Iran na serikali zingine utategemea muamala wao na Iran.
Habari ID: 3474233    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/28

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, majilisi za Muharram maombolezo ya Bwana wa mashahidi, Imam Hussein AS zinaletaa rehma na baraka za Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3474179    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/11

Katika sherehe iliyofanyika leo mjini Tehran katikakatika Hussainiya ya Imam Khomeini (MA), Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei amemuidhinisha Ebrahim Raeisi kuwa rais wa nane wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3474154    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/03

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema mipango na miradi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haipaswi kufungamanishwa na ushirikiano na nchi za Magharibi, kwani imedhihirika wazi wakati wa kipindi cha serikali inayomaliza muda wake hapa nchini kwamba, kuwategemea Wamagharibi hakuna faida yoyote.
Habari ID: 3474136    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/28

TEHRAN (IQNA) Wasomi na wanazuoni wakubwa wa Kiislamu wamekutaja kwa njia ya intaneti na kujadili nukta tofauti za ujumbe wa Hija mwaka huu uliotolewa na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatollah Seyed Ali Khamenei
Habari ID: 3474124    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/24

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amevipa jukumu vyombo vya serikali na visivyo vya serikali kuhakikisha vinashughulikia kwa uzito mkubwa utatuzi wa matatizo na masuala ya wananchi wa mkoa wa Khuzestan, kusini magharibi mwa Iran.
Habari ID: 3474119    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/23

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika ujumbe wa Hija
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, muqawama ndio njia ya kufidia kubaki nyuma kimaendeleo nchi za Kiislamu na akasisitiza kuwa, eneo lote la Kiislamu ni uwanja wa kusimama kifua mbele muqawama kukabiliana na ukhabithi wa Marekani na washirika wake.
Habari ID: 3474113    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/19