Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ikipata ilhamu ya AhluL-Bayt (AS) iliyashinda na kuyarejesha nyuma majoka yenye vichwa saba ya Uistikbari na ikasonga mbele kimaendeleo.
Habari ID: 3475725 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/03
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: katika matukio yote yaliyojiri, wananchi wamekuwa ndio "mashujaa wakuu wa historia ya Mapinduzi" na ukweli huo unatoa somo na mazingatio na kuwaonyesha viongozi wote ni namna gani inapasa waamiliane na wananchi hao.
Habari ID: 3475703 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/30
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Mwanamke mwenye hadhi na kipaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa pigo kubwa na muhimu zaidi kwa madai na uongo ya ustaarabu wa Magharibi, na suala hilo limewakasirisha mno Wamagharibi.
Habari ID: 3475550 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/28
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jioni ya jana (Jumanne) alifanya mazungmzo na Rais Vladmir Putin wa Russia na ujumbe aliofuatana nao hapa mjini Tehran, ambako amelitaja suala la Syria kuwa muhimu sana na kusema: Suala jingine muhimu katika kadhia ya Syria ni uvamizi wa Wamarekani na kukaliwa kwa mabavu ardhi zenye rutuba na zenye utajiri mkubwa wa mafuta za mashariki mwa Furati (Euphrates), na suala hili linapaswa kupatiwa ufumbuzi kwa kufukuzwa Wamarekani kwenye eneo hilo.
Habari ID: 3475519 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/20
Kiongozi Muadhamu katika mkutano na Rais wa Uturuki
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza ulazima wa kulindwa ardhi yote ya Syria na kusema: Shambulio lolote la kijeshi katika eneo la kaskazini mwa Syria litazidhuru Uturuki, Syria na eneo zima na Asia Magharibi na kuwanufaisha magaidi.
Habari ID: 3475517 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/19
Idul Ghadir
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameidhinisha pendekezo la Jaji Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, Gholam Hossein Mohseni Ejei la kupunguziwa vifungo au kuachiwa huru wafungwa zaidi ya 2,000 wa Kiirani.
Habari ID: 3475516 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/18
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kikao cha Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amehutubia kikao cha Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran na maafisa na wafanyakazi wa chombo hicho akisema matokeo ya kusimama kidete mbele ya maadui ni kupata ushindi na maendeleo.
Habari ID: 3475438 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/28
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, mpango wa adui ni kudhoofisha imani na matumaini na kutaka ionekane kwamba viongozi wamefika kwenye mkwamo na hawajui namna ya kuendesha nchi.
Habari ID: 3475407 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/21
Kiongozi Muadhamu katika mkutano na Rais Maduro wa Venezuela
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema uzoefu wenye mafanikio wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Venezuela katika kupambana na vikwazo vya Marekani umedhihirisha wazi kuwa, mapambano au muqawama ndio njia pekee ya kuzima mashinikizo ya namna hiyo.
Habari ID: 3475366 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/12
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amepongeza hatua ya kuanza tena ibada ya Hija baada ya amali hiyo kuvurugwa kwa miaka miwili na janga la Corona. Amesema, "hii ni baraka kubwa kwani ibada hii ni nembo ya umoja miongoni mwa Waislamu."
Habari ID: 3475348 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/08
Kiongozi Muadhamu na Masuala ya Kimataifa
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amebainisha sababu za hali maalumu duniani sasa na kusema kusema katika hali ya sasa ya dunia, uendeshaji mambo umekuwa mgumu kwa nchi zote.
Habari ID: 3475295 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/25
Kiongozi Muadhamu katika mkutano na Amir wa Qatar
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema dhulma ya miongo kadhaa ya utawala khabithi wa Kizayuni dhidi ya watu wa Palestina ni ukweli mchungu wa historia na pigo kwa ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu na kuongeza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inataraji kwamba ulimwengu wa Kiarabu utaingia wazi wazi katika medani ya kisiasa kukabiliana na jinai hizo.
Habari ID: 3475243 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/13
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Wizara ya Mafunzo na Malezi ni mlezi na muandaji wa kizazi chenye kujenga ustaarabu.
Habari ID: 3475237 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/11
Kiongozi Muadhamu katika mkutano Rais Bashar al Assad wa Syria na ujumbe alioandamana nao
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kusimama kidete taifa na serikali ya Syria na kuibuka mshindi katika vita vikubwa vya kimataifa kumeandaa mazingira ya kupata hadhi na kuheshimika zaidi nchi hiyo duniani.
Habari ID: 3475224 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/08
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema, Palestina nzima imekuwa uwanja wa mapambano, na kwamba mipango yote ya suluhu na kufanya mapatano na adui Mzayuni imebatilishwa.
Habari ID: 3475185 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/29
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, maadhimisho ya Siku ya Quds ni fursa ya kutangaza kuwa pamoja na wananchi madhulumu wa Palestina ambapo licha ya taifa hilo kudhulumiwa lakini limepata nguvu na kuwa imara.
Habari ID: 3475173 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/27
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema licha ya sera na azma ya Marekani na washirika wake ya kutaka kulisambaratisha suala la Palestina, na kuifanya dunia isahau uwepo kwa taifa hilo, lakini kadhia ya Wapalestina ipo hai na inazidi kuimarika na kupata nguvu kila siku.
Habari ID: 3475120 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/13
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Ramadhani ni mwezi wa ugeni na rehema zisizo na kikomo za Mwenyezi Mungu, na kwamba kutakasa nafsi, kuanisika kunakoambata na kutafakari kwa kina na kuelewa vyema Qur'ani ni miongoni mwa mambo muhimu yanayomuwezesha mwanadamu kufaidika na ugeni huo wa Mola Karima.
Habari ID: 3475094 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/04
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyid Ali Khamenei amesema kuhusu matukio ya dunia yanayoendelea kujiri katika nchi za Afghanistan, Ukraine na Yemen kwamba: "matukio yote haya yanaonyesha ukweli wa taifa la Iran na machaguo sahihi liliyofanya katika kupambana Uistikbari."
Habari ID: 3475065 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/22
TEHRAN (IQNA)-Katika ujumbe wake kwa mnasaba wa kuanza mwaka 1401 Hijria Shamsia, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelipongeza taifa kwa kuwadia sikukuu ya Nowruz au Nairuzina kuutaja mwaka mpya kuwa ni mwaka wa "uzalishaji unaotegemea elimu na kutengeneza ajira."
Habari ID: 3475062 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/21