iqna

IQNA

Umoja wa Kiislamu
IQNA: Tukio hilo lililopewa jina la "Katika Mapenzi ya Mtume," lilifanyika usiku wa kuamkia Ijumaa katika Uwanja wa Mtume Muhammad (SAW) ulio katika Haram ya Imam Ridha (AS) kuashiria kuanza kwa Wiki ya Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3479425    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/13

IQNA - Shule za kijadi za Qur'ani Tukufu nchini Morocco ambazo zilianzia mamia ya miaka iliyopita zimedumisha jukumu lao muhimu kama vituo vya elimu ya kidini.
Habari ID: 3479071    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/05

Harakati za Qur'ani Sudan
TEHRAN (IQNA)- Idadi kubwa ya wananchi wameshiriki katika sherehe ya kuwapongeza wanafunzi wanafunzi 150 waliohifadhi Qur'ani katika shule za mji wa Hamshkorib Kaskazini-Mashariki mwa Sudan.
Habari ID: 3476399    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/13

Kuhifadhi Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Wanafunzi 393 waliohifadhi Qur’ani Tukufu wamehitimu katika mahafali iliyofanyika katika msikiti mmoja huko Istanbul, Uturuki.
Habari ID: 3475330    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/03

TEHRAN (IQNA)- Huku Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ukikaribia, wanafunzi 700 wamehitimu somo la kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu ambapo wote waliofuzu watatumwa katika misikiti mbali mbali nchini humo.
Habari ID: 3475071    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/24

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Qur’ani Tukufu cha Al Sidra katika Ukanda wa Ghaza kimeandaa mahafali ya kuhitimu kundi la vijana waliohitimu kuhifadhi Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474926    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/13

TEHRAN (IQNA) – Hafla imefanyika katika mji wa Khan Yunis katika eneo la Palestina la Ukanda wa Ghaza kwa lengo la kuwaenzi wanafunzi waliohifadhi Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474321    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/21