ayatullah khamenei - Ukurasa 13

IQNA

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa wito kwa wasomi wa kidini kushiriki kilamilifu katika mambo yote yanayohusu nchi na jamii
Habari ID: 3470313   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/15

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, usalama katika jamii una nafasi muhimu katika ustawi wa kiuchumi.
Habari ID: 3470301   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/08

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, jukumu muhimu kabisa la Umma wa Kiislamu ni kukabiliana na harakati ya ujahiliya inayoongozwa na Marekani.
Habari ID: 3470295   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/05

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitizia umuhimu wa kuendelezwa uhusiano imara na usioweza kuathiriwa na vikwazo na uhasama wa Marekani baina ya Iran na Korea Kusini.
Habari ID: 3470289   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/03

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitizia wajibu wa kulelewa kizazi cha vijana wa Iran katika msingi wa kuwafanya wajitegemee na wapende kuwa na heshima ya kidini na kusimama imara kupambana na madola ya kibeberu.
Habari ID: 3470287   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/03