Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Mkuu wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Iraq amesema, kuandaliwa kongamano la umoja wa Kiislamu kunaonyesha umakini wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3475918 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/12
Rais wa Iran
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia uwezo wa Umma wa Kiislamu katika ulimwengu wa sasa na kueleza kwamba, bendera iliyoinuliwa juu na Imamu Ruhullah Khomeini (RA) ni bendera ya umoja baina ya Waislamu kote duniani.
Habari ID: 3475916 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/12
Maulid ya Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) – Mkutano wa 11 unaoandaliwa kila mwaka kwa mnasaba wa Maulid ya Mtukufu Mtume (SAW) ulifanyika katika mji wa Adrar nchini Algeria.
Habari ID: 3475913 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/11
Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni mwandamizi wa Lebanon ameutaja umoja kati ya Waislamu kama msingi imara zaidi wa kulinda Uislamu kutokana na vitisho vilivyopo.
Habari ID: 3475911 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/11
Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Rais wa zamani wa Afghanistan Hamid Karzai anasema kupambana na itikadi kali na ugaidi ni suluhisho la kivitendo la kuimarisha umoja katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3475910 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/10
Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Mkutano wa 36 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unatarajiwa kufanyika wiki ijayo hapa jijini Tehran kwa kuhudhuriwa na makumi ya shakhsia wa kidini wa ndani na nje ya nchi kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja.
Habari ID: 3475907 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/10
Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) – Maisha ya Mtume Muhammad SAW yamejaa mafunzo kwa wale wanaotafuta mwongozo wa kimaadili.
Habari ID: 3475906 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/10
Maulid ya Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa harakati ya muqawama ya Ansarullah ya Yemen alitoa wito kwa maafisa wa nchi za Magharibi kuacha kuivunjia heshima Qur'ani, Mtume Mtukufu (SAW) na matukufu mengine ya Kiislamu katika nchi hizo.
Habari ID: 3475902 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/09
Waislamu wa Yemen
TEHRAN (IQNA) – Wanazuoni wa Yemen wamesisitiza haja ya kuimarisha umoja wa Kiislamu, wakibainisha kwamba sikukuu ya kuzaliwa kwa Mtukufu Mtume (SAW) ni tukio la kukuza umoja.
Habari ID: 3475854 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/29
Maulid ya Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) – Waziri Mkuu wa Pakistani ametuma salamu za kheri na pongezi kwa dunia nzima, hususan Umma wa Kiislamu, mwanzoni mwa mwezi mtukufu wa Rabi Al-Awwal.
Habari ID: 3475849 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/28
Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) - Mashirika na vikundi vya Kiislamu huko Mumbai nchini India vimeanza kampeni ya kukuza mafundisho ya Mtume Muhammad (SAW) katika mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwake.
Habari ID: 3475848 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/28
Fikra za Kiislamu
Qur'ani Tukufu inataja kuota na athari zake kama suala muhimu, ikigusia juu yake katika aya kadhaa.
Habari ID: 3475842 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/26
Kumbukumbu ya kuaga dunia Mtume Muhammad SAW
IQNA-Mwezi 28 Mfunguo Tano Safar, inasadifiana na siku ya kukumbuka alipofariki dunia Bwana Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3475833 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/24
Shughuli za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Vituo vitano vya kusoma Qur'ani vimeanzishwa katika mji wa Najaf nchini Iraq huku waumini wakijitayarisha kushiriki katika maombolezo kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuaga dunia Mtume Muhammad (SAW) katika siku zijazo.
Habari ID: 3475829 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/23
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Katika Qur’ani Tukufu na hadithi za Mtukufu Mtume Muhammad (SAW) ndoto na athari zake zimetajwa kuwa ni muhimu.
Habari ID: 3475810 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/19
Qur'an Tukufu Inasemaje/28
TEHRAN (IQNA) – Dini ambazo wafuasi wake wana imani ya Mwenyezi Mungu zina mambo mengi yanayofanana katika misingi lakini pia dini hizi zina tofauti au hitilafu.
Habari ID: 3475753 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/08
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Duru ya awali ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran itafanyika katika mji mtakatifu wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3475736 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/05
Turathi za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Misikiti mitano ya kihistoria inayohusiana na zama za Mtume Muhammad (SAW) katika eneo la Makka itakarabatiwa.
Habari ID: 3475715 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/01
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Mwanadamu daima yuko katika kutafuta furaha na wokovu na huwa anapouona wokovu huu katika viwango tofauti vya mtu binafsi, familia na kijamii.
Habari ID: 3475644 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/18
Ibada
TEHRAN (IQNA) – Sala ni moja ya nguzo za Uislamu na Waislamu wanaamini kuwa ibada hii ni daraja linalowaunganisha na Mwenyezi Mungu SWT. Kwa hivyo, Sala ni muhimu sana kwa kila Muislamu.
Habari ID: 3475610 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/11