TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Al-Nejashi nchini Ethiopia, unaoaminika kuwa msikiti kwa kwanza kujengwa barani Afrika, umekarabatiwa.
Habari ID: 3471718 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/24
TEHRAN (IQNA)- Kongamano lenye anuani ya "Mtume wa Rahma' limefanyika nchini Uganda kwa ushirikiano wa Kituo cha Utamaduni cha Iran, Shirika la Utangazaji lwa Uganda (UBC) na Baraza Kuu la Waislamu Uganda (UMSC).
Habari ID: 3471661 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/06
TEHRAN (IQNA) Siku ya leo inasadifiana na mwezi 10 Muharram 1439 Hijria, siku ya kukumbuka wakati damu ilipoushinda upanga kwa ushujaa wa Imam Hussein AS na wafuasi wake wachache katika jangwa la Karbla la Iraq ya leo.
Habari ID: 3471200 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/01
TEHRAN (IQNA)-Mtafiti mmoja nchini Misri amesema mkataba aliofunga Bwana Mtume Muhammad SAW na Wakristo ni hati ya kwanza kuhusiana na kuheshimu dini tofauti duniani.
Habari ID: 3471196 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/28
TEHRAN (IQNA)-Denmark Imefuta sheria inayopiga marufuku kuzivunjia heshima dini na punde baada ya hapo aliyeivunjia heshima Qur'ani ameachiliwa huru.
Habari ID: 3471006 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/04
TEHRAN- (IQNA)-Tarehe 27 Rajab Mwaka wa Tembo na akiwa na umri wa miaka 40, Mtume Muhammad (SAW) alikuwa juu ya kilele cha Mlima Hira, akijishughulisha na ibada ndani ya pango la mlima huo, ambapo ghafla malaika Jibril AS alimteremkia huku akiwa amebeba wahyi kutoka kwa Mwenyezi Mungu SW.
Habari ID: 3470950 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/24
IQNA-Waislamu duniani wanasherehekea Maulidi na kukumbuka tukio la kuzaliwa Mbora wa Walimwengu, Muhammad Mwaminifu SAW. Ni fusa muafaka ya kutafakari kuhusu umoja wa Waislamu duniani.
Habari ID: 3470746 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/17
Rais Rouhani
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewataka Waislamu wote duniani waungane na kuimarisha umoja na mshikamano wao dhidi ya njama za maadui wanaolenga kuvunja umoja wa Waislamu kwa kuibua uhasama na malumbano ya kimadhehebu.
Habari ID: 3470745 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/16
IQNA-Mabasi kadhaa nchini Uingereza yamepambwa kwa jina la Mtume Muhammad SAW na ujumbe wake wa Amani kwa munasaba wa kuwadia sherehe za Mawlid ya Mtukufu Huyo.
Habari ID: 3470722 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/07
IQNA-Waislamu wa madhehebu ya Shia na Sunni nchini Tanzania wameshiriki katika matembezi ya pamoja kisha wakaswali sala ya Jamaa kwa munasaba wa kukumbuka kuaga dunia Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3470708 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/01
Tuko katika siku hizi za kuomboleza kuuawa shahidi Imam Hussein AS ambaye ni mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW.
Habari ID: 3470608 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/12
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia kuwa miongoni mwa wenye kushikamana na Wilaya ya Ali bin Abi Talib na kizazi chake kitoharifu na maasumu; na mpaka pale roho zetu zitakapokuwamo viwiliwilini mwetu.
Habari ID: 3470572 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/19
Tuko katika siku ya 21 ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambayo inasadifiana na munasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi Imam Ali bin Abi Twalib AS.
Habari ID: 3470418 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/27
Tarehe 27 Rajab 'Mwaka wa 40 wa Ndovu au 'Aamul Fiyl', Muhammad SAW alikuwa ameenda katika milima ya kaskazini mwa Makka kunong'ona na Mola wake.
Habari ID: 3470293 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/04