Qur'an Tukufu Inasemaje/28
TEHRAN (IQNA) – Dini ambazo wafuasi wake wana imani ya Mwenyezi Mungu zina mambo mengi yanayofanana katika misingi lakini pia dini hizi zina tofauti au hitilafu.
Habari ID: 3475753 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/08
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Duru ya awali ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran itafanyika katika mji mtakatifu wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3475736 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/05
Turathi za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Misikiti mitano ya kihistoria inayohusiana na zama za Mtume Muhammad (SAW) katika eneo la Makka itakarabatiwa.
Habari ID: 3475715 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/01
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Mwanadamu daima yuko katika kutafuta furaha na wokovu na huwa anapouona wokovu huu katika viwango tofauti vya mtu binafsi, familia na kijamii.
Habari ID: 3475644 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/18
Ibada
TEHRAN (IQNA) – Sala ni moja ya nguzo za Uislamu na Waislamu wanaamini kuwa ibada hii ni daraja linalowaunganisha na Mwenyezi Mungu SWT. Kwa hivyo, Sala ni muhimu sana kwa kila Muislamu.
Habari ID: 3475610 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/11
Qur'ani Tukufu Inasemaje /22
TEHRAN (IQNA) – Baada ya tukio la Mubahala lililotokea kufuatia msisitizo wa Wakristo wa Najran juu ya wao kuwa kwenye haki, aya za Qur’an ziliteremshwa zinazotaka mazungumzo na kuzingatia mambo nukta za pamoja. Hii inaonyesha kwamba mtazamo wa Qur'an ambao unatilia mkazo mwingiliano na mazungumzo.
Habari ID: 3475540 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/25
Historia ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Kuna msikiti karibu na mji mtakatifu wa Madina unaoitwa Msikiti wa Sayed Al-Shuhada ambao ni eneo muhimu katika historia ya Kiislamu.
Habari ID: 3475537 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/25
Leo Jumapili tarehe 24 Dhul-Hijjah 1443 Hijiria inayosadifiana na tarehe 24 Julai 2022, ni siku muhimu ya Mubahalah katika historia ya Uislamu.
Habari ID: 3475536 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/24
Idul Ghadir
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameidhinisha pendekezo la Jaji Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, Gholam Hossein Mohseni Ejei la kupunguziwa vifungo au kuachiwa huru wafungwa zaidi ya 2,000 wa Kiirani.
Habari ID: 3475516 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/18
Idul Ghadir
TEHRAN (IQNA)- Jumatatu 18 Julai mwaka 2022 inayosadifiana na tarehe 18 Dhul-hija mwaka 1443 Hijria ni Sikukuu ya Idul Ghadir Khum, moja ya Idi kubwa za Waislamu.
Habari ID: 3475515 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/17
Qur'ani Tukufu Inasemaje /18
TEHRAN (IQNA) – Baada ya kuteremshwa aya inayozungumzia kuteuliwa kwa Harun kama naibu wa Musa, Mtume Muhammad (SAW) alimteua mrithi wa ukhalifa wake na hadithi hii imetajwa na wanazuoni na wanahistoria wengi wa Kiislamu kutoka asili tofauti.
Habari ID: 3475508 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/16
TEHRAN (IQNA)- Kwa mnasaba wa kuwadi siku kuu ya Idul Ghadir, kumefanyika sherehe ya kupandisha bendera ya Ghadir katika Haram ya Imam Ali (AS).
Habari ID: 3475507 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/15
Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: Suala la Ghadir ni kadhia ya kipekee katika historia ya mwanaadamu, na Mwenyezi Mungu hajalipa tukio lolote lile umuhimu mkubwa kuliko tukio la Ghadir Khum.
Habari ID: 3475506 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/15
Sura za Qur'ani /9
TEHRAN (IQNA) – Sura zote ndani ya Qur’ani Tukufu zinaanza na sentensi “Kwa Jina la Mwenyeezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu” (Bismillah Ar-Rahman Ar-Raheem) isipokuwa Sura At-Tawbah.
Habari ID: 3475414 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/23
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umetoa mwito wa kupasishwa sheria ya kujinaisha na kupiga marufuku kuvunjiwa heshima matukufu ya dini mbalimbali duniani.
Habari ID: 3475402 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/20
Hali ya Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri kimelaani matamshi ya hivi kairbuni ya kumvunjia heshima Mtume SAW katika mdahalo wa televisheni nchini India.
Habari ID: 3475343 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/06
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Nchi za Kiislamu duniani zimeendelea kulalamikia vikali matamshi dhidi ya Mtume Mutukufu wa Uislamu, Muhammad SAW ambayo yalitolewa katika mdahalo wa Televisheni huko India na kuibua hasira miongoni mwa Waislamu duniani.
Habari ID: 3475342 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/06
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi wa India mjini Tehran kulalamikia vikali matamshi dhidi ya Mtume Mutukufu wa Uislamu, Muhammad SAW ambayo yalitolewa katika mdahalo wa televisheni huko India na kuibua hasira miongoni mwa Waislamu duniani.
Habari ID: 3475340 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/06
Qur'ani na kutafakari
TEHRAN (IQNA)- Wito wa kutafakri ni miongoni mwa mawaidha mazito katika dini ya Kiislamu na ni ya thamani na muhimu sana kiasi kwamba Mtume Mtukufu Muhammad (SAW) amesema: “Saa ya kufikiri ina thamani zaidi kuliko miaka 60 ya ibada bila kufikiri”.
Habari ID: 3475309 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/30
Mtume Muhammad SAW amesema:
Kutafuta elimu ni faradhi kwa kila Muislamu. Mwenyezi Mungu anawapenda wanaotafuta elimu.
Usul al Kafi Juzuu ya 1, Uk. 30
Habari ID: 3475287 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/24