TEHRAN (IQNA)- Sheikh Abdul Rashid ni mhubiri maarufu kaika Kituo cha Waislamu cha As-Siddiq mjini New York ambaye hotuba zake huwa na mvuto kutokana na mbinu yake ya kusoma aya za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474507 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/03