iqna

IQNA

dhambi
Zifahamu Dhambi/ 4
TEHRAN (IQNA) – Katika lugha ya Qur'ani Tukufu na Mtukufu Mtume Muhammad (SAW), kuna maneno mbalimbali yanayotumika kutaja ma dhambi .
Habari ID: 3477991    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/05

Zifahamu Dhambi/9
TEHRAN (IQNA) – Kumekuwa na mijadala mingi miongoni mwa wanachuoni wa Kiislamu kuhusu ni vigezo gani vilivyopo vya kutaja dhambi kuwa kubwa (Kabira) au dhambi ndogo (Saghira).
Habari ID: 3477952    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/26

Zifahamu Dhambi/ 6
TEHRAN (IQNA) – Ili kuyajua vyema ma dhambi , Hadithi mashuhuri ambamo wanachama wa majeshi ya hekima na ujinga wameorodheshwa inaweza kuwa muongozo mzuri sana.
Habari ID: 3477876    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/11

Zifahamu Dhambi/5
TEHRAN (IQNA) – Katika Qur'ani Tukufu, makundi 18 ya watu yamelaaniwa kwa kufanya ma dhambi tofauti.
Habari ID: 3477841    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/04

Zifahamu Dhambi/1
TEHRAN (IQNA) – Mtu anatakiwa kuzingatia mambo ambayo yanamdhuru kiakili, kiroho na kimwili, ili kujiepusha nayo na kukaa bila kudhurika.
Habari ID: 3477785    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/25

Zifahamu Dhambi/3
TEHRAN (IQNA) – Katika lugha ya Qur’ani Tukufu na Mtukufu Mtume (SAW), kuna maneno mbalimbali yanayotumika kutaja ma dhambi .
Habari ID: 3477782    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/24

Mawaidha
TEHRAN (IQNA) – Binadamu mara nyingi hufanya mambo mabaya katika maisha yao, ambayo yanaweza kuwa na matokeo ya kudumu katika maisha yao ya dunia na akhera.
Habari ID: 3476975    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/08

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Tabia yoyote inayokiuka amri za Mwenyezi Mungu inachukuliwa kuwa dhambi . Kuna aina mbili za dhambi : ndogo na kubwa.
Habari ID: 3475914    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/11

Shakhsia katika Qur'ani/3
TEHRAN (IQNA) - Kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu, hakuna Mtume wa Mwenyezi Mungu aliyefanya dhambi au kosa lolote. Ikiwa ndivyo, mtu anawezaje kueleza na kuhalalisha uasi wa Nabii Adam (AS)?
Habari ID: 3475841    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/26

Qur'ani Tukufu Inasemaje/17
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu inadhihirisha kwamba matendo ya watu binafsi yana athari kubwa na ya moja kwa moja kwa jamii kwani haitoshi kutegemea sheria kali za kijamii kwa ajili ya kurekebisha jamii; badala yake, kuwe na juhudi za kukuza uelewa miongoni mwa wanajamii.
Habari ID: 3475495    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/12

TEHRAN (IQNA) - Njia ya maisha ya mwanadamu imepambwa kwa hadaa na vishawishi mbalimbali vya kumdanganya mwanadamu; masuala haya ya hadaa hufanya iwe vigumu kwa wanadamu kufikia malengo halali aliyojiwekea maishani.
Habari ID: 3475225    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/09