iqna

IQNA

paris
Historia ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Jumba la Makumbusho La Louvre la Paris limefungua maonyesho mapya ambayo kwa kiasi fulani yanaonyesha baadhi ya kurasa za mojawapo ya nakala kongwe zaidi za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476344    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/02

Waislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa Jamia wa Paris, Ufaransa unawasilisha malalamiko ya jinai dhidi ya mwandishi Mfaransa Michel Houellebecq kutokana na kauli zake dhidi ya Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3476330    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/30

TEHRAN (IQNA) – Maktaba ya Kitaifa ya Ufaransa ina mjumuiko mkubwa wa maandishi ya Kiislamu ambayo yamekuswanywa katika muda wa karne kadhaa.
Habari ID: 3474782    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/09

TEHRAN (IQNA)- Msikiti katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, ambao ulikuwa umefungwa kama sehemu ya ukandamizaji wa Waislamu baada ya kuuawa mwalimu aliionyesha katuni zilizomvunjia heshima Mtume Muhammad SAW, umefunguliwa tena baada ya kufungwa kwa muda wa miezi sita.
Habari ID: 3473798    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/10

TEHRAN (IQNA) – Msikiti mkubwa zaidi katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, utafunguliwa tena Jumanne.
Habari ID: 3472819    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/31

TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa Jamia wa Paris, Ufaransa umetangaza kusitishwa kwa muda sala ya Ijumaa katika msikiti huo kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama Corona.
Habari ID: 3472551    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/10

TEHRAN (IQNA) - Vyombo vya habari vya Ufaransa vimetangaza kuwa, jana usiku mtu mmoja mwenye silaha alishambulia msikiti mmoja mjini Parisa.
Habari ID: 3472548    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/09

Msikiti Mkuu wa Paris (Grande Mosquée de Paris) ni msikiti mkubwa zaidi nchini Ufaransa. Msikiti huo adhimu ulijengwa kwa usanifumajengo wa Kiislamu baada ya Vita Vikuu vya Kwanza vya Dunia. Msikiti huo ulijengwa kama njia ya kuwashukuru Waislamu waliokuwa katika jeshi la Ufaransa wakati wa vita hivyo. Takribani Waislamu 100,000 waliokuwa katika Jeshi la Ufaransa walipoteza maisha wakiwa wanapigana dhidi ya Wajerumani
Habari ID: 3471721    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/28

Wafanyakazi Waislamu katika Uwanja wa Kimatiafa wa Ndege wa Charles de Gaulle mjini Paris, Ufaransa wamekatazwa kuwa na nakala za Qur'ani wakiwa kazini huku wanaokataa kunyoa ndevu wakichukuliwa hatua.
Habari ID: 3470329    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/23

Vitendo vya chuki na utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu nchini Ufaransa vinaripotiwa kuongezeka siku baada ya siku hasa baada ya mashambulio ya kigaidi ya hivi karibuni katika mji mkuu wa nchi hiyo Paris.
Habari ID: 3455375    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/22

Polisi nchini Canada wamesema kuwa, moto ulioteketeza msikiti mmoja katika mji wa Peterborough mkoani Ontario ulitokana na kuwashwa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3453396    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/16

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vikali mashambulizi ya kigaidi ya juzi huko Paris mji mkuu wa Ufaransa.
Habari ID: 3452963    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/16

Kiongozi mmoja anayejihusisha na harakati za kusimamia haki za Waislamu na wahajiri waishio katika viunga vya jiji la Paris, Ufaransa ameonya juu ya kushadidi wimbi kubwa la chuki dhidi ya Waislamu kutokana na mashambulizi ya kigaidi nchini humo.
Habari ID: 3451758    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/15

Rais Hassan Rouhani wa Iran leo amelaani hujuma za kigaidi katika mji mkuu wa Ufaransa ambapo zaidi ya Wafaransa 160 wameuawa.
Habari ID: 3448030    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/14

Watu wasiopungua 160 wameuawa katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris Ijumaa usiku katika mashambulizi yanayosadikiwa kuwa makubwa zaidi nchini humo tangu baada ya Vita vya Pili vya Dunia.
Habari ID: 3448027    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/14

Rais Francois Hollande wa Ufaransa amepinga kuweko uhusiano wowote kati ya wafanya mashambulizi ya kigaidi ya hivi karibuni katika mji mkuu wa nchi hiyo Paris na dini ya Kiislamu.
Habari ID: 2692011    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/10