iqna

IQNA

Mazungumzo ya Kidini
IQNA - Kibao chenye nukuu kutoka hotuba za Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu Nabii Isa Masih (Amani ya Iwe Juu Yake) ambaye ni maarufu  kama Yesu miongoni mwa Wakristo, kimewasilishwa kwa Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani.
Habari ID: 3480009    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/05

Maisha ya Nabii Isa (AS) katika Qur’ani/3
IQNA – Kama vile watu, wakiwemo Wayahudi, walivyovutiwa na dini ya Nabii Isa (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-AS-) au Yesu, viongozi wa Kiyahudi walipata hofu na wakatafuta msaada wa Mfalme wa Kirumi kumuua Yesu.
Habari ID: 3479969    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/29

Itikadi
IQNA - Uislamu na Ukristo ni dini zenye mitazamo sawa kuhusu mambo kadhaa. Linapokuja suala la mtazamo wa dini hizi mbili kuhusu Nabii Isa (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-AS-) imani zote mbili zinamtambua Iss kama mtu muhimu, lakini kuna hitilafu kuhusu maisha yake, utume na hatima yake.
Habari ID: 3479951    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/25

Maelewano
IQNA - Wakati Krismasi ikiwa imewadia, afisa wa kundi kubwa zaidi la kutetea Waislamu nchini Marekani, akinukuu aya za Qur’ani Tukufu, amengazia jinsi Waislamu wanavyomheshimu Yesu au Nabii Isa (AS).
Habari ID: 3479946    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/24

Dini
IQNA – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei amesisitiza jinsi Waislamu wanavyomheshimu Nabi Isa au Yesu – Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake-(AS), huku akikemea kudhalilishwa kwa mtume huyo Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3479204    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/30

Dini
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri kimelaani matukio ya kufuru wakati wa uzinduzi wa Michezo ya Olimpiki ya Paris ya 2024.
Habari ID: 3479199    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/29

Mawaidha
IQNA – Nabii Isa au Yesu (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-AS-) ni miongoni mwa Manabii Ulul'adhm (manabii wakuu) na kitabu chake ni Biblia.
Habari ID: 3478107    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/29

Ujumbe
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuwa, wale wote wanaodai kwamba ni wafuasi wa Nabii Issa Masih (as) hawapaswi kuiunga mkono Israel na mauaji yake dhidi ya watoto huko katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478091    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/25

Uislamu na Ukristo
IQNA - Uislamu na Ukristo ni dini zenye mitazamo sawa kuhusu mambo kadhaa. Linapokuja suala la mtazamo wa dini hizi mbili kuhusu Nabii Isa (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-AS-) imani zote mbili zinamtambua Iss kama mtu muhimu, lakini kuna hitilafu kuhusu maisha yake, utume na hatima yake.
Habari ID: 3478087    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/25

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /43
TEHRAN (IQNA) – Nabii Isa au Yesu (AS) ni shakhsia maalum katika Qur'ani Tukufu na anaelezewa kuwa ni mtu ambaye alizaliwa akiwa ametakasika na akafa akiwa ametakasika na kwamba na yuko pamoja na Mwenyezi Mungu hadi atakapotokea tena mwishoni mwa wakati ili kuwaokoa wanadamu.
Habari ID: 3477278    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/13

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /39
TEHRAN (IQNA) – Yahya -Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-(AS)-, anayejulikana pia kama, alikuwa mtoto wa Zakariya (AS) na aliteuliwa kuwa utume tangu utotoni.
Habari ID: 3476941    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/01

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /37
TEHRAN (IQNA) – Makuhani wengi walitoa tuhuma zisizo sahihi dhidi ya Bibi Maryam baada ya kuzaliwa kwa Isa Masih (Yesu) na wakati huo Zakariya aliibuka na kuwa msaidizi na muungaji mkono wa kwanza wa Bibi Mariamu na Nabii Isa-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-(AS).
Habari ID: 3476911    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/25

Qari al-Taruti
TEHRAN (IQNA) – Disema 25 huadhimishwa na Wakristo wengi kama Siku ya Krismasi ambayo inaadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Nabii Isa Mwana wa Maryam (Yesu) amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake.
Habari ID: 3476307    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/26

Sura za Qur’ani Tukufu /5
TEHRAN (IQNA) – Sura tofauti za Qur’an zinarejelea kuzaliwa, maisha, miujiza, na maadui wa Nabii Isa (Yesu)-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake Sura ya tano ya Qur’ani inaashiria miujiza ya nabii huyu wa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3475328    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/02