IQNA – Jukwaa la masomo ya Qur;an linalotumia Akili Mnemba au AI limezinduliwa katika Msikiti Mkuu wa Makka.
Habari ID: 3480310 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/05
Teknolojia katika Uislamu
IQNA - Kongamano litafanyika katika Msikiti wa Jamkaran huko Qom, Iran, kujadili mahitaji na matumizi ya akili mnemba yaani Artificial Intelligence (AI) katika misikiti.
Habari ID: 3479947 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/24
Teknolojia na Uislamu
IQNA-Mtaalamu wa Kiislamu amesema kuwa akili mnemba au Artificial Intelligence (AI) ni "kifaa chenye thamani" ambacho kinaweza kutumika kwa huduma ya wanadamu lakini amesisitiza kwamba teknolojia hii haiwezi kuwa mbadala wa fikra za mwanadamu.
Habari ID: 3479906 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/16
Afya ya Akili katika Qur’ani /3
IQNA - Tawakkal au Tawakkul, ambayo ina maana ya mwanadamu kuweka imani kwa Mwenyezi Mungu, ni miongoni mwa mafundisho ambayo yana nafasi muhimu katika kuimarisha na kudumisha afya ya akili .
Habari ID: 3478259 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/27
Njama za Adui
TEHRAN (IQNA)- Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametahadharisha kuwa, stratejia hatari zaidi ambayo adui ameamua kutumia ni vita vya kinafsi na kisaikolojia.
Habari ID: 3475661 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/22