akili

IQNA

IQNA – Hafla ya kifahari imefanyika katika mji mkuu wa Morocco kuadhimisha mgeni wa milioni 10 kutembelea Makumbusho na Maonesho ya Sira (Maisha) ya Mtume Muhammad (SAW) pamoja na Ustaarabu wa Kiislamu.
Habari ID: 3482171    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/27

IQNA – Mkurugenzi wa Sehemu ya Akili Unde au Akili Mnemba (Artificial Intelligence) na Teknolojia za Maarifa ya Qur’ani katika Maonesho ya 33 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Tehran amesema kuwa, licha ya uwepo mdogo wa makampuni ya maarifa, mchango wao ni wa kimkakati na wenye athari kubwa.
Habari ID: 3481993    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/25

IQNA – Mamlaka ya Fatwa ya Misri (Dar al‑Ifta) imetangaza kwamba matumizi ya programu za akili mnemba (AI), ikiwemo ChatGPT, katika kufasiri Qur’ani Tukufu hayaruhusiwi kisheria.
Habari ID: 3481861    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/28

IQNA – Toleo la pili la mkutano wa kimataifa kuhusu “Tafsiri ya Qur’ani na Akili Mnemba” linatarajiwa kufanyika nchini Morocco.
Habari ID: 3481845    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/25

IQNA – Kituo cha Al-Azhar cha Kupambana na Mielekeo ya Ugaidi kimeeleza wasiwasi wake kuhusu matumizi ya teknolojia ya Akili Mnemba (AI) na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) kwa madhumuni ya kuajiri wafuasi wapya.
Habari ID: 3481599    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/01

IQNA – Maonyesho ya pili ya kazi za Qur’ani Tukufu zilizotengenezwa kwa teknolojia ya Akili Mnemba (AI) yamezinduliwa mjini Tehran, yakionyesha kazi 100 zilizochaguliwa kutoka kwa vijana na chipukizi.
Habari ID: 3481562    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/23

IQNA – Mwanazuoni mwandamizi kutoka Iran amesema kuwa Akili Mnemba (AI) au akili ya kutengenezwa kimitambo haiwezi kufikia hadhi ya akili ya mwanadamu wala kuelewa upeo wa kiroho wa maisha ya binadamu.
Habari ID: 3481518    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/15

Qur’ani ni Chemchemi ya Maarifa
IQNA – Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini Iran amesisitiza kuwa akili mnemba (AI) inapaswa kutumika kwa lengo la kuendeleza Qur’ani Tukufu, akibainisha kuwa jukumu hilo ni huduma muhimu ya kielimu kwa Uislamu.
Habari ID: 3481517    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/15

IQNA – Kituo cha Uchapishaji na Usambazaji wa Qur'an Tukufu cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kimeanza kutumia teknolojia za Akili Mnemba (AI) kwa ajili ya kutengeneza nakala za Qur'ani za kidijitali, hatua inayofungua ukurasa mpya wa kuunganisha urithi wa kiroho na ubunifu wa kisasa.
Habari ID: 3481490    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/09

IQNA – Serikali ya Malaysia imezindua mfumo mpya uitwao iTAQ unaotumia teknolojia ya Akili Mnemba (AI) kuharakisha mchakato wa kuthibitisha usahihi wa machapisho ya nakala za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3481441    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/31

IQNA – Kituo cha Al-Azhar cha Kupambana na Itikadi Kali kimetoa onyo kali kuhusu matumizi mabaya ya teknolojia ya Akili Mnemba (AI) katika kuchochea chuki dhidi ya Waislamu nchini India.
Habari ID: 3481391    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/21

IQNA – Mamlaka Kuu ya Masuala ya Misikiti Miwili Mitakatifu imetangaza mafanikio ya utekelezaji wa mazingira ya kidijitali katika Msikiti Mkuu wa Makka na Msikiti wa Mtume (SAW) mjini Madina.
Habari ID: 3481254    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/19

IQNA – Mufti Mkuu wa Misri amesema kuwa akili mnemba (Artificial Intelligence – AI) haina mamlaka ya kutoa maamuzi ya Kiislamu au fatwa.
Habari ID: 3481058    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/09

IQNA –Roboti mpya ya Manarat Al-Haramain inayotumia Akili Mnemba (AI) imezinduliwa ili kuwasaidia Mahujaji huko Makka, Saudi Arabia.
Habari ID: 3480727    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/23

IQNA – Mpango mpana wa uendeshaji kwa msimu wa Hija utazinduliwa nchini Saudi Arabia, huku tangazo rasmi likipangwa kutolewa Alhamisi. 
Habari ID: 3480645    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/06

Teknolojia
IQNA – Kongamano lililopewa jina “Jinsi ya kutumia Akili Mnemba (Artificial Intelligence-AI-) kuhudumia Kitabu cha Mwenyezi Mungu na Kuwasaidia Ndugu Zetu wa al-Quds” iliandaliwa nchini Mauritania.
Habari ID: 3480535    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/13

IQNA-Shirika moja la kimataifa limelaani hatua ya kampuni ya Microsoft ya Marekani kumfuta kazi mhandisi wa programu mwenye asili ya Morocco, Ibtihal Aboussad, ambaye aliandamana hadharani kupinga uungwaji mkono wa kampuni hiyo kwa utawala katili wa Israel wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Microsoft.
Habari ID: 3480521    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/10

Teknolojia
IQNA – Akili Mnemba (Artificial Intelligence - AI) ni moja ya maendeleo makubwa ya kiteknolojia katika zama za kisasa na inatumiwa katika maeneo mengi, ikiwemo kuchakata maandiko ya kidini.
Habari ID: 3480403    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/19

IQNA – Waziri wa Utamaduni na Muongozo wa Kiislamu Iran amesema kuwa Akili Mnemba (AI) ina uwezo wa kufanya mapinduzi katika shughuli za Qur’ani kote ulimwenguni.
Habari ID: 3480333    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/09

Mtazamo
IQNA – Kufunga husaidia kuongeza umakini kwa kuleta mpangilio katika maisha ya kila siku na kupunguza usumbufu unaotokana na ulaji na unywaji mfululizo.
Habari ID: 3480315    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/06