IQNA – Mwanazuoni mmoja wa Iran amesema kuwa Bara’ah min al-Mushrikin (kujivua na kujitenga na washirikina) ndiyo nyenzo bora zaidi ya kuifufua Hija ya Kiibrahimu.
Habari ID: 3482293 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/29
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu ni muujiza wa milele na iko katika kiwango cha juu cha ufasaha na maudhui. Njia moja ambayo Qur’ani Tukufu inaitumia kuimarisha nyoyo za waumini ni Tahaddi (kukaribisha changamoto).
Habari ID: 3475758 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/09