iqna

IQNA

qiyama
Pepo Katika Qur'ani /10
IQNA – Baraka za pepo kwa mujibu wa Qur'ani Tukufu ni za aina mbalimbali, zingine ni za kimaada (material), zingine ni za kiroho, na zingine ni kutokuwepo kwa shida na usumbufu.
Habari ID: 3478352    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/14

Pepo Katika Qur'ani /9
IQNA – Qur’ani Tukufu inaitaja pepo kwa majina na sifa mbalimbali, ambazo baadhi yake zinatilia mkazo sifa maalumu ya pepo na baadhi nyingine zinaashiria pepo maalumu zilizoandaliwa kwa ajili ya waumini kulingana na safu zao.
Habari ID: 3478347    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/13

Pepo Katika Qur'ani /8
IQNA - Kwa mujibu wa Surah Al-Insan ya Qur'ani Tukufu, waja wema wa Mwenyezi Mungu wanaweza kufanya chemchemi za peponi kutiririka kutoka popote wanapotaka.
Habari ID: 3478331    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/10

Pepo Katika Qur'ani /3
IQNA – Qur’ani Tukufu, katika Surah Muhammad (SAW), inataja mito minne peponi ambayo ndani yake kuna maji safi, maziwa, Sharaban Tahur (mvinyo usiolewesha), na asali safi inayotiririka.
Habari ID: 3478298    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/03

Pepo Katika Qur'ani /2
IQNA – Wakati uzuri wa pepo hauelezeki au kudirikiwa kikamilifu na mwanadamu, Qur'ani Tukufu inailinganisha na mandhari ya ajabu katika dunia hii ambayo daima ni ya kijani kibichi na yenye shime na mito ya maji safi ambayo inapita chini ya bustani zake.
Habari ID: 3478285    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/01

Pepo Katika Qur'ani/2
IQNA – Baraka ambazo waumini watazipata peponi hatuwezi kuzifahamu na kuzidiriki kikamilifu kwani akhera ni dunia iliyo bora zaidi, kubwa na ya juu kuliko dunia hii.
Habari ID: 3478274    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/29

Sura za Qur’ani Tukufu /75
TEHRAN (IQNA) - Ukweli wa kushangaza ambao watu huchukulia kawaida ni kwamba alama za vidole za kila mtu ni tofauti na za wengine wote.
Habari ID: 3476969    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/07

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Watu wana sura tofauti katika ulimwengu huu. Wengine ni warembo na wengine si warembo. Hawakuchagua jinsi wanavyoonekana bali Mungu amewachagua.
Habari ID: 3475880    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/04