iqna

IQNA

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) – Hafidh wa Qur’ani Tukufu kutoka Gambia amesifu kiwango kizuri na usawa alioushuhudia katika Mashindano ya 39 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3476617    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/24

TEHRAN (IQNA)- Jumatano kumefanyika sherehe ya kufunga Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu, ambapo washindi walitangazwa na kutunukiwa tuzo. Sherehe hiyo imehudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyed Ebrahim Raisi na halikadhalika Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu Mohammad Mehdi Esmaeili, na Waziri wa Elimu Yousef Nouri.
Habari ID: 3476611    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/23

Rais wa Iran katika shehre za kufunga Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Iran Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu Iran amesema Iran inaweza kuwa mji mkuu wa kukuza utamaduni wa Qur'ani Tukufu duniani.
Habari ID: 3476610    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/23

TEHRAN (IQNA) - Siku ya mwisho ya duru ya mwisho ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran ilifanyika Jumanne mjini Tehran kwa makundi ya wanawake na wanaume. Sherehe ya kufunga imefanyika leo Februari 22.
Habari ID: 3476608    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/22

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Hafidh wa Qur'ani Tukufu kutoka Pakistani ambaye anashiriki katika fainali ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran amesifu kiwango cha juu cha mashindano hayo.
Habari ID: 3476598    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/21

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 21 ya Tuzo ya Qur’ani ya Ras Al Khaimah yamehitimishwa huko Ras Al Khaimah, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3476585    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/19

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Washindi wa Shindano la 18 la Kimataifa la Kuhifadhi Qur'ani Tukufu Algeria wametunukiwa zawadi katika hafla iliyofanyika Jumamosi.
Habari ID: 3476583    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/19

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamefunguliwa rasmi Jumamosi Alasiri mjini Tehran.
Habari ID: 3476582    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/18

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Toleo la sita la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Port Said yameanza Ijumaa katika mji huo wa bandarini Misri.
Habari ID: 3476578    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/18

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Usajili umefunguliwa kwa ajili ya mashindano ya kitaifa ya Qur’ani Tukufu kwa vijana nchini Brunei, ambayo yataanza mwezi Machi.
Habari ID: 3476563    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/14

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) - Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran ) Mohammad Baqer Qalibaf ataongoza hafla ya uzinduzi wa duru ya mwisho ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3476562    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/14

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) - Wataalamu wa Qur'ani kutoka Iran na nchi nyingine nane watahudumu katika jopo la waamuzi katika awamu ya mwisho ya Awamu ya 39 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3476554    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/13

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Washindi wakuu walitangazwa na kutunukiwa tuzo katika hafla ya kufunga Mashindano ya 16 ya Qur'ani Tukufu ya Kituo cha Dar-ul-Quran cha Imam Ali (AS) nchini Iran.
Habari ID: 3476552    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/12

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waandaaji wametangaza ratiba ya fainali ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran ambayo yanatarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu.
Habari ID: 3476538    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/09

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Washindi wa Mashindano ya 29 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Misri walitangazwa na jopo la waamuzi.
Habari ID: 3476533    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/08

Mashindano ya Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) - Toleo la 29 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Misri yalianza katika sherehe katika mji mkuu Cairo siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3476516    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/05

Mashindano ya Qur'ani Tukufu kwa njia ya televisheni
TEHRAN (IQNA) - Usajili wa wanaotaka kushiriki toleo la 16 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Kanali ya Televisheni ya Al-Kawthar TV utaanza Jumamosi, Februari 4.
Habari ID: 3476495    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/31

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Wakfu wa Misri amesema wawakilishi wa nchi 58 watashiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya nchi hiyo.
Habari ID: 3476481    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/29

Mashindano ya Qur'ani Nigeria
TEHRAN (IQNA) - Washindi wakuu wa mashindano ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu nchini Nigeria walitunukiwa zawadi katika hafla iliyofanyika Sokoto.
Habari ID: 3476450    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/23

Harakati za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) – Matokeo ya hatua ya awali ya mashindano ya nchi nzima ya Qur'ani Tukufu Misri yanayoendeshwa na Al-Azhar Islamic Center yametangazwa.
Habari ID: 3476437    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/20