iqna

IQNA

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Banjul, mji mkuu wa Gambia, umekuwa mwenyeji wa mashindano ya Qur'ani Tukufu yaliyojumuisha kuhifadhi, kusoma Tajweed na Tarteel.
Habari ID: 3476387    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/11

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Kamati ya maandalizi ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran imetangaza majina ya wataalamu wa Qur'ani watakaohudumu katika majopo ya majaji wa mashindano hayo.
Habari ID: 3476380    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/10

Mashidano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Toleo la 23 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum yameanza leo katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)
Habari ID: 3476371    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/07

Waislamu Kanada
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Waislamu wa Kanada (MAC) itaandaa mashindano yake ya 20 ya Qur'ani Tukufu Januari Mosi 2023.
Habari ID: 3476337    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/31

Mashindano ya Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) – Hafla ilifanyika jimboni Asyut, Misri, ambapo wanafunzi 140 ambao wameshinda mataji katika mashindano ya Qur'ani katika jimbo hilo walitunukiwa zawadi kutokana na mafanikio yao.
Habari ID: 3476336    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/31

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Wakfu na Masuala ya Kidini wa Oman amewaenzi washindi wa Duru ya 30 ya Mashindano la Sultan Qaboos la Kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476315    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/27

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Iran itashiriki katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani nchini Jordan na wawakilishi wawili.
Habari ID: 3476306    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/26

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Finali za Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu Iran zitaanza katika mji mkuu wa Iran, Tehran, mnamo Februari 18, 2023.
Habari ID: 3476285    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/22

Harakati za Qur'ani Algeria
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu na masuala ya Kiislamu ya Algeria imetangaza kuzindua duru ya awali ya mashindano ya kitaifa ya Qur'ani.
Habari ID: 3476218    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/08

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Duru ya nusu fainali ya mashindano ya nchi nzima ya Qur'ani yaliyoandaliwa na Kituo cha Dar-ul-Quran cha Imam Ali (AS) nchini Iran inaendelea.
Habari ID: 3476201    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/05

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Kyrgyzstan, Sadyr Japarov, amekutana na mwakilishi wa nchi hiyo aliyeibuka mshindi wa mashindano ya hivi karibuni ya kimataifa ya Qur'ani nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3476184    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/02

TEHRAN (IQNA) – Duru ya mwisho ya Mashindano ya 25 ya Kitaifa ya Qur’ani nchini Lebanon ilifanyika mjini Beirut Jumapili, Novemba 27.
Habari ID: 3476175    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/30

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Ahmed Kuzu kutoka Uturuki aliibuka mshindi katika Mashindano ya 20 ya Kimataifa ya Kusoma Qur'ani ya Moscow, nchini Russia
Habari ID: 3476136    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/23

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – –Mashindano ya 20 Kimataifa ya Kusoma Qur'ani ya Moscow yamekamilika katika hafla ya Jumapili usiku katika mji huo mkuu wa Urusi (Russia), ambapo walioshika nafasi za tatu za juu walitangazwa na kutunukiwa zawadi.
Habari ID: 3476126    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/21

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) –Mashindano ya 20 Kimataifa ya Qur'ani ya Moscow yalizinduliwa Ijumaa katika mji mkuu huo wa Urusi (Russia).
Habari ID: 3476115    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/19

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya kuhifadhi Qur’ani yamezivutia familia nyingi huko Al-Quds (Jerusalem), katika ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3476102    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/17

Shughuli za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Awamu ya Sita ya Mashindano ya Qur'ani Tukufu na Adhana kwa Waislamu wa Kaskazini mwa Ulaya itafanyika Februari.
Habari ID: 3476062    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/09

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Wakfu wa Misri, Sheikh Mohamed Mukhtar Gomaa amesema Duru ya 29 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya nchi hiyo limepewa jina la Qari bingwamarehemu Sheikh Mustafa Ismail.
Habari ID: 3476009    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/30

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Wanaotaka kushiriki katika Mashindano ya Qur’ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wanatakiwa kujisajili kuanzia Novemba 1.
Habari ID: 3476003    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/29

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) - Ukumbi wa Kimataifa wa Tehran utakuwa mwenyeji wa toleo lijalo la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3475991    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/26