Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Sherehe za kufunga Mashindano ya Kimataifa ya 44 ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi, Kusoma na Kutafsiri Qur'ani zitafanyika katika Msikiti Mkuu wa Makka siku ya Jumatano.
Habari ID: 3479307 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/20
IQNA – Washiriki wa Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Saudi Arabia wametembelea Kituo cha Mfalme Fahd cha Uchapishaji wa Qur'ani Tukufu mjini Madina.
Habari ID: 3479306 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/20
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Sehemu ya mwisho ya Toleo la 44 la Mashindano ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi , Kusoma na Kutafsiri Qur'ani Tukufu huko Makka imekamilika huko Makka.
Habari ID: 3479290 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/17
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya Qur'ani kwa wanawake yamefanika katika mji wa Dar es Salaam, Tanzania wikiendi iliyopita.
Habari ID: 3479280 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/14
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mmoja wa wawakilishi wawili wa Iran katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu mjini Makka alitia fora na kuwavutia sana hadhirina wakati aliopandaa jukwaa Jumatatu.
Habari ID: 3479274 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/13
IQNA – Maafisa wa Makao Makuu ya Uratibu wa Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Iran yalifanya mkutano siku ya Jumamosi mjini Tehran.
Habari ID: 3479268 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/12
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Jumla ya washiriki 173 kutoka nchi 123 wanashiriki katika toleo la 44 la Mashindano ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi , Kusoma na Kutafsiri Qur'ani Tukufu huko Makka.
Habari ID: 3479264 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/11
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Toleo la 44 la Mashindano ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi, Kusoma na Kutafsiri Qur’ani Tukufu yalianza mjini Makka kwa awamu za awali za kufuzu siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3479258 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/10
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Wawakilishi wawili wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamefika Saudi Arabia kushiriki katika toleo la 44 la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Saudi Arabia.
Habari ID: 3479252 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/09
IQNA - Sherehe za kufunga Tuzo ya Qur'ani Tukufu ya BRICS zilifanyika siku ya Ijumaa huko Kazan katika Jamhuri ya Tatarstan nchini Russia huku washindi wa mashindano hayo wakitunukiwa.
Habari ID: 3479195 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/27
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Sherehe za kufunga Tuzo ya Qur'ani Tukufu ya BRICS zilifanyika siku ya Ijumaa huko Kazan katika Jamhuri ya Tatarstan nchini Russia huku washindi wa mashindano hayo wakitunukiwa.
Habari ID: 3479193 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/27
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Zahra Ansari ambaye amehifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu ataiwakilisha Iran katika toleo la 8 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Sheikha Fatima Bint Mubarak Kwa Wanawake ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3479186 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/26
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Morocco imetangaza kuwa toleo la 18 la Tuzo la Kimataifa la Mohammed VI la Kuhifadhi Qur'ani, Kutunga Zaburi na Kusoma litafanyika tarehe 3 na 4 Septemba.
Habari ID: 3479144 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/17
Qur’ani Tukufu
Msafara wa Qur'ani Tukufu wa Arobaini wa Iran utakuwa na wanachama zaidi ya 100, wakiwemo makaris wanaume na wanawake, huku karibu makari na wanaharakati 300 wakuu wakikamilisha kujiandikisha kwa tukio hilo.
Habari ID: 3479117 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/13
Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani
IQNA-Washindi wa mashindano ya 3 ya kimataifa ya Qur'ani ya Karbala walitangazwa na kutunukiwa huko Karbala, Iraq.
Habari ID: 3479080 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/06
Mashindano ya Qur’ani Tukufu
Mwakilishi wa Iran katika kategoria ya kuhifadhi ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Uturuki ana matumaini ya kufuzu kwa fainali.
Habari ID: 3478989 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/20
Diplomasia ya Qur'ani
IQNA - Sherehe za kufunga toleo la 10 la mashindano ya Qur'ani kati ya majeshi ya Iran na Oman zimefanyika huku washindi wakipokea tuzo zao.
Habari ID: 3478945 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/07
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Iran itatuma washiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Saudi Arabia katika vitendo vya qiraa na hifdhi.
Habari ID: 3478833 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/16
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya Nne ya Kimataifa ya Qur'ani ya Bahrain yalihitimishwa Jumatano usiku.
Habari ID: 3478732 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/25
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Misri inaandaa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani kwa wenye vipaji maalumu lengo likiwa ni kukuza utamaduni wa Kiislamu.
Habari ID: 3478716 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/22