mashindano ya qurani - Ukurasa 12

IQNA

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la kwanza la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iraq, ambayo ni maarufu kama Tuzo ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iraq, yameanza Jumamosi huko Baghdad, kwa kushirikisha washindani, majaji, na maafisa wa Iraqi.
Habari ID: 3479730   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/10

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Maustadh wawili mashuhuri wa Qur'ani wa Misri ni miongoni mwa wajumbe wa jopo la majaji katika mashindano ya kwanza ya kimataifa ya Qur'ani nchini Iraq.
Habari ID: 3479728   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/10

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya 22 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Moscow yamekamilika katika hafla iliyofanyika katika mji mkuu wa Russia ambapo washindi wakuu walitunukiwa zawadi ambapo hafidh wa  Qur'ani kutoka Libya ameshika nafasi ya kwanza.
Habari ID: 3479727   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/10

IQNA - Tuzo la 13 la Kimataifa la Qur'ani la Kuwait, linaloshirikisha mashindano ya kuhifadhi, qiraa na Tajweed, litafanyika kuanzia Novemba 13 hadi 20, 2024.
Habari ID: 3479723   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/09

Qurani
IQNA - Kuna wanaharakati wanne wa Qur'ani wa Iran wanaohudhuria mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Iraq yaliyoanza mjini Baghdad siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3479722   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/09

Qiraa
IQNA - Qari wa Misri Ahmed al-Sayyid al-Qaytani alishika nafasi ya kwanza katika kategoria ya qiraa au usomaji Katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani nchini Uingereza wiki iliyopita.
Habari ID: 3479717   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Jumla ya washiriki 31 kutoka nchi kadhaa wamepangwa kushiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani ya Iraq yanayojuikana Tuzo ya Kwanza ya  Kimataifa ya Qur'ani la Iraq.
Habari ID: 3479716   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Sherehe imefanyika nchini Uingereza kutangaza na kuwatunuku washindi wa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479711   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/06

IQNA - Mchakato wa kutathmini washiriki wa hatua ya awali ya Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran umeanza leo  Jumanne, Novemba 5
Habari ID: 3479707   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05

Harakati za Qur'ani
IQNA - Seyed Parsa Angoshtan, qari wa Iran aliyeshika nafasi ya pili katika mashindano ya 9 ya kimataifa ya Qur'ani Uturuki mapema wiki hii amezungumza kuhusu hayo nay ale yanayofanyika nchini Iran.
Habari ID: 3479688   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/02

Qari wa Qur'ani
IQNA - Wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Mashindano ya Tisa ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Uturuki walishika nafasi za pili katika kategoria zao.
Habari ID: 3479675   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/31

IQNA – Maandalizi ya Mashindano  ya 43 ya kitaifa ya Qur'ani, Etrat na Swala ya wanafunzi wa shule za Iran yameshika kasi kwa kuzinduliwa kwa mchakato wa usajili.
Habari ID: 3479665   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/29

IQNA - Hatua ya awali ya mashindano ya uteuzi wa wawakilishi wa Misri katika toleo lijalo la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Port Said yamalizika.
Habari ID: 3479649   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/26

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Iran itashiriki katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani katika mji mkuu wa Urusi (Russia).
Habari ID: 3479626   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/21

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la kwanza la Mashindano ya Qur'ani Tukufu na Sunnah kwa nchi Afrika Magharibi yalimalizika nchini Mauritania kwa kufanyika sherehe ambapo washindi walitajwa na kutunukiwa zawadi.
Habari ID: 3479622   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/20

IQNA - Mashindano ya 22 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Moscow yatafanyika katika mji mkuu wa Russia mwezi ujao.
Habari ID: 3479617   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/19

Mashindano ya Qur'ani na Sunna
IQNA - Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani na Sunnah kwa nchi za Afrika Magharibi yalianza Jumanne na  nchini Mauritania.
Habari ID: 3479603   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/17

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mauritania imeratibiwa kuandaa mashindano ya Qur'ani kwa nchi za Afrika Magharibi kuanzia Jumanne.
Habari ID: 3479594   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/14

IQNA - Hamid Majidimehr ameteuliwa kuwa mkuu wa kamati ya maandalizi ya toleo la 41 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3479593   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/14

IQNA - Ukumbi wa Kituo cha Biashara Cha Dunia huko Kuala Lumpur kilikuwa mwenyeji wa sherehe za kufunga Mashindano ya 64 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia Jumamosi usiku, Oktoba 12, 2024.
Habari ID: 3479589   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/13