Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Wakati duru ya mwisho ya Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran inakaribia, wakuu wa kamati za maandalizi ya tukio hilo la Qur'ani waliteuliwa.
Habari ID: 3478301 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/04
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Haram Takatifu ya Hadhrat Abbas (AS) katika mji wa Karbala nchini Iraq imetangaza tukio lake kubwa la Qur'ani, "Tuzo ya Kimataifa ya Al-Ameed ya Kuhifadhi Qur'ani," ambayo itafanyika kama mashindano ya televisheni yaliyo wazi kwa wasomaji kutoka nchi zote.
Habari ID: 3478296 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/03
Mashindano ya Qur'ani
IQNA-Toleo la 7 la tukio la kimataifa la Qur'ani linatarajiwa kufanyika Port Said, kaskazini mwa Misri, Februari 2-6.
Habari ID: 3478293 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/02
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Toleo la 24 la Mashindano ya Qur’ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yalihitimishwa katika hafla iliyofanyika mjini Dubai.
Habari ID: 3478252 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/25
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Seyed Abolfazl Aqdadsi, kijana mhifadhi Qur'ani Tukufu kutoka Iran, anaiwakilisha nchi yake katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Bangladesh.
Habari ID: 3478236 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/22
Elimu
IQNA – Toleo la 16 la Tamasha la Kimataifa la Qur'ani na Hadithi la Chuo Kikuu cha Al-Mustafa (SAW) limehudhuriwa na wanafunzi kutoka nchi 68.
Habari ID: 3478212 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/18
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Brunei yataanza Jumatano, Januari 17.
Habari ID: 3478200 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/16
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Waandaaji wa Awamu ya Tatu ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Meshkat wametangaza kanuni na vigezo vya kuwasilisha visomo vya qiraa ya Qur'ani iliyorekodiwa.
Habari ID: 3478196 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/14
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Usajili wa toleo la 17 la mashindano ya kila mwaka ya kimataifa ya Qur'ani yanayoandaliwa na Televisheni ya Al-Kawthar ulifunguliwa Jumatano iliyopita, sambamba na kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Hazrat Zahra (SA).
Habari ID: 3478168 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/08
Mashindano ya Qur'ani ya Meshkat
IQNA – Usajili umeanza kwa ajili ya Toleo la Tatu la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Meshkat, ambayo hufanyika mtandaoni chini ya usimamizi wa Taasisi ya Qur'ani ya Meshkat.
Habari ID: 3478122 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/31
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya kila mwaka ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu huko Port Said, Misri, yataanza Februari 1, 2024.
Habari ID: 3478121 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/31
Mashindano ya Qur'ani ya Iran
IQNA – Toleo la 40 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran, moja ya matukio ya kifahari na bora zaidi ya Qur'ani duniani, lilianza Jumamosi mjini Tehran kwa duru ya awali ya mchujo.
Habari ID: 3478120 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/31
Qur'ani Tukufu
IQNA - Ndugu saba katika familia ya Misri wameweza kujifunza Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3478116 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/30
Mashindano ya Qur'ani ya Iran
IQNA - Wataalamu kumi na sita mashuhuri wa Qur'ani Tukufu watahudumu katika jopo la majaji wa Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran katika hatua ya awali.
Habari ID: 3478100 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/27
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Programu ya kila wiki ya Khatm Qur'an (kusoma Qur'ani Tukufu kuanzia mwanzo hadi mwisho) ilifanyika nchini Misri kwa kushirikisha maqari kutoka nchi mbalimbali.
Habari ID: 3478098 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/26
Qur'ani Tukufu
IQNA - Mshindi katika kitengo cha 'Familia ya Qur'ani' ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Misri ametangazwa
Habari ID: 3478089 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/25
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Wizara ya Wakfu ya Misri inapanga kuandaa Khatm Qur'an (kusoma Qur'ani Tukufu kuanzia mwanzo hadi mwisho) wiki ijayo.
Habari ID: 3478084 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/24
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Wawakilishi wa Iran katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu kwa wanafunzi wa shule walitangazwa.
Habari ID: 3478069 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/21
Qur'ani Tukufu
IQNA – Idara ya Mfawidhi wa Haram Tukufu ya Imam Hussein (AS) inapanga kuandaa mashindano ya kila mwaka ya kusoma Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478064 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/20
Harakati za Qur'ani Tukufu
IQNA - Wahifadhi na wasomaji Qur'ani kutoka nchi 12 walishiriki katika toleo la mwaka huu la mashindano ya Qur'ani yaliyoandaliwa na Kituo cha Dar-ul-Quran cha Imam Ali (AS) nchini Iran.
Habari ID: 3478045 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/16