Mashindano ya Qur'ani Tukufu
BANDAR SERI BEGAWAN (IQNA) - Shindano la Kitaifa la Kusoma Al-Quran la Brunei kwa Watu Wazima litaingia katika hatua ya nusu fainali siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3477846 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/05
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Wawakilishi wa Iran wamechukua nafasi kadhaa za juu katika mashindano ya mtandaoni ya Qur’ani Tukufu yaliyoandaliwa na Iraq.
Mashindano hayo yalipewa anuani ya "Walshafi Walwitr" ( Na kwa viwili viwili na kimoja kimoja) ambayo inarejelea aya ya 3 ya Surah Al-Fajr.
Habari ID: 3477839 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/04
Mashindano ya Qur'ani
ABU DHABI (IQNA) – Mchakato wa usajili wa Toleo la 24 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu la Sheikha Hind Bint Maktoum katika Umoja wa Falme za Kiarabu ulianza Jumatano.
Habari ID: 3477835 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/03
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
ASTANA (IQNA) - Mwakilishi kutoka Morocco alishinda tuzo ya juu ya Mashindano ya Kwanza ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Kazakhstan.
Habari ID: 3477834 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/03
Mashindano ya Qur'ani
ASTANA (IQNA) - Toleo la kwanza la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Kazakhstan limeanza leo Jumatano asubuhi katika mji mkuu, Astana.
Habari ID: 3477824 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/01
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Idadi ya nchi zinazotarajiwa kushiriki katika toleo lijalo la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran ni zaidi ya 90, imedokezwa.
Habari ID: 3477801 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/28
Mashindano ya Qur'ani
DUBAI (IQNA) - Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Dubai ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wanawake yalifungwa katika sherehe huko Dubai, UAE.
Habari ID: 3477637 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/23
Waislamu Australia
CANBERRA (IQNA) - Mashindano ya Qur'ani yaliyoandaliwa mjini Sydney, Australia, yalihitimishwa katika sherehe ambapo washindi wa kwanza walitunukiwa.
Habari ID: 3477636 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/22
Mashindano ya Qur'ani
DUBAI (IQNA) – Toleo la 7 la mashindano ya kimataifa ya Qur’ani ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wanawake yalizinduliwa huko Dubai, katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3477607 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/16
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
MAKKA (IQNA)- Toleo la 43 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Saudi Arabia litaanza leo katika mji mtakatifu wa Makka huku wawakilishi kutoka nchi 117 wakishiriki.
Habari ID: 3477495 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/25
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
KUALA LUMPUR (IQNA) - Jopo la majaji wa shindano la 63 la kimataifa la Qur'ani la Malaysia lilitangaza washindi wa toleo hili la shindano hilo.
Habari ID: 3477491 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/24
Mashindano ya Qur'ani
KUALA LUMPUR (IQNA) – Alireza Bijani, mwakilishi wa Iran katika kategoria ya kisomo ya mashindano ya 63 ya kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia, amewavutyia wengi kwa qiraa yake Jumanne usiku.
Habari ID: 3477483 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/23
Harakati za Qur'ani Tukufu
KUALA LUMPUR (IQNA) – Raundi ya mwisho ya toleo la 63 la mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Malaysia itaanza wikendi hii.
Habari ID: 3477445 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/16
Mashindano ya Qur'ani
MINNESOTA (IQNA) - Msichana Mkenya mwenye umri wa miaka 17 alishinda tuzo ya kifahari ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Marekani.
Habari ID: 3477272 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/12
Video ya mashindano kati ya wasomaji wawili wa Iran na Wamisri wakati wa Hijja imetazamwa sana katika anga ya mtandao.
Habari ID: 3477211 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/28
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Ali Reza Bijani ataiwakilisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Mashindano ya 63 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Malaysia.
Habari ID: 3477013 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/17
Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Hafla imefanyika katika mji mkuu wa Ghana wa Accra kuwaenzi washindi wa shindano la kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476963 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/06
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) –Mashindano ya 43 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Saudi Arabia yatafanyika katika mji mtakatifu wa Makka msimu huu wa joto.
Habari ID: 3476955 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/04
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Katika hafla iliyofanyika Lucknow, mji mkuu wa jimbo la Uttar Pradesh nchini India, washindi wa mashindano ya usomaji wa Qur'ani na Adhan wameenziwa.
Habari ID: 3476944 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/01
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Gereza moja katika mji mkuu wa Algeria, Algiers limewaenzi wafungwa 150 ambao waliweza kuhifadhi Quran Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3476907 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/24