mashindano ya qurani - Ukurasa 8

IQNA

IQNA – Lengo kuu la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu kwa Wanafunzi Waislamu ni kuimarisha umoja miongoni mwa wanafunzi, wasomi, na wahadhiri kutoka ulimwengu wa Kiislamu, afisa mmoja amesema.
Habari ID: 3480782   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/03

IQNA – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu wa Vyuo Vikuu si tu jukwaa la mashindano kuhusu maarifa ya Qur’ani, bali pia ni fursa adhimu ya kukuza na kuimarisha maisha ya kiroho katika mazingira ya kielimu, afisa mmoja amesema.
Habari ID: 3480776   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/02

IQNA – Raundi ya mwisho ya mashindano ya Qur’an kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Iran, toleo la 39, imeanza rasmi Jumamosi kwa hafla maalum ya uzinduzi.
Habari ID: 3480737   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/25

IQNA – Mashindano yajayo ya Qur’ani ya  Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai yatafanyika katika sehemu tatu kuu, na kwa mara ya kwanza yatafungua milango kwa washiriki wa kike.
Habari ID: 3480726   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/23

IQNA – Toleo la tatu la Mashindano ya Kimataifa ya Ulaya ya Kuhifadhi Qur’ani kwa washiriki wa umri mkubwa limehitimishwa mjini Rijeka, Croatia, ambapo Muhammad Abdi kutoka Sweden (Uswidi) alitwaa nafasi ya kwanza.
Habari ID: 3480717   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/21

IQNA – Mashindano ya kuhifadhi Qur’ani yalifanyika mjini Damaturu, mji mkuu wa jimbo la Yobe nchini Nigeria, siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3480701   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/18

IQNA – Washiriki wa baraza la utungaji sera kwa ajili ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu wametangazwa.
Habari ID: 3480678   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/13

IQNA – Mkutano umefanyika Tehran Jumatatu ili kujadili mikakati ya kuendeleza vipengele vya kimataifa vya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. 
Habari ID: 3480648   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/06

IQNA – Nigeria inapanga kuandaa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu na kushirikisha maqari wa Qur’ani kutoka nchi 20.
Habari ID: 3480632   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/03

IQNA – Wanaharakati  wa Qur'ani kutoka nchi 50 hadi sasa wamejisajili kushiriki katika toleo la nne la shindano la kimataifa la Qur'ani huko Karbala, Iraq. 
Habari ID: 3480616   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/30

IQNA-Wawakilishi wawili wa Iran katika mashindano ya 13 ya kimataifa ya Qur’an yaliyoendeshwa Libya walishiriki vikao vya mzunguko wa awali kupitia mtandao.
Habari ID: 3480595   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/26

IQNA – Washindi wa mashindano ya tuzo za Qur’ani nchini Kuwait walitunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo siku ya Jumanne.
Habari ID: 3480585   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/23

IQNA – Kamati ya maandalizi ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Lebanon yanayojulikana kama "Dhikr lil-Alamin" imetangaza washindi wa kitengo cha qiraa.
Habari ID: 3480573   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/21

IQNA – Mchujo wa awali wa mashindano makubwa zaidi ya kimataifa ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu katika ukanda wa Balkan umekamilika huko Bosnia na Herzegovina.
Habari ID: 3480569   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/20

IQNA – Kadri maandalizi ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu yanavyoendelea, tarehe ya mwisho kwa washiriki wa sehemu ya Teknolojia na Ubunifu Kuhusu Qur’ani inakaribia.
Habari ID: 3480534   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/13

IQNA – Toleo la pili la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya "Wa Rattil," yaliyoandaliwa  na Thaqalayn TV, limehitimishwa mwishoni mwa mwezi mtukufu wa Ramadhani, likiwashirikisha washiriki kutoka mataifa mbalimbali wakiwania nafasi za juu. 
Habari ID: 3480485   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/02

IQNA – Watu wawili kutoka Morocco wamepata nafasi za juu katika Mashindano ya 8 ya Katara ya Usomaji wa Qur'ani, yaliyofanyika nchini Qatar
Habari ID: 3480466   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/29

IQNA- Mashindano ya 32 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur'an nchini Jordan yamefikia tamati kwa kutangaza washindwa na kutunukukiwa zawadi waliofika nafasi za juu.
Habari ID: 3480465   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/29

IQNA – Mashindano ya Qur'ani kwa watoto yamefanyika Charlotte, jimbo la North Carolina, Marekani katika Mwezi Mtukufu  Ramadhani. 
Habari ID: 3480440   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/26

IQNA – Hossein Khani Bidgoli kutoka Iran amesema alikuwa na furaha na jinsi alivyofanya katika Mashindano ya 32 ya kimataifa ya Qur'ani ya Jordan.
Habari ID: 3480420   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/23