Mashindano ya Qur'ani
KUALA LUMPUR (IQNA) - Washindi wakuu wa Mashidano ya 62 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Malaysia walitangazwa na kutunukiwa zawad katika hafla ya kufunga hapa Jumatatu.
Habari ID: 3475987 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/25
Mashindano ya Qur'ani Iran
TEHRAN (IQNA) - Mialiko imetumwa kwa zaidi ya nchi 120 kwa ajili ya kushiriki katika toleo lijalo la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3475981 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/24
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Shirika la shule za Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri limetangaza kuanza kwa mchakato wa usajili kwa wale walio tayari kushiriki katika mashindano ya kila mwaka ya Qur’ani ya kituo hicho.
Habari ID: 3475948 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/18
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Wawakilishi kutoka nchi 30 wanatazamiwa kushiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani nchini Ujerumani mwezi Novemba.
Habari ID: 3475943 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/17
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Zaidi ya washiriki 500 waliohifadhi Qur’ani Tukufu wameshiriki katika mashindano ya kila mwaka ya Qur’ani yanayoandaliwa na Vituo vya Kuhifadhi Qur’ani Tukufu vya Maktoum huko Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3475941 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/17
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Katika hafla ya Ijumaa, washindi wa toleo la 2 la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Meshkat walitangazwa.
Habari ID: 3475932 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/15
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Duru ya Sita ya Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wanawake yalihitimishwa huko Dubai, UAE.
Habari ID: 3475888 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/06
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Hafla ya kufunga Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Uturuki ilifanyika Jumatano usiku katika mji mkuu wa nchi hiyo, Ankara.
Habari ID: 3475887 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/06
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Toleo la 6 la Mashindano ya Kimataifa la ya Qur’ani ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wanawake yanaendelea huko Dubai, nchini UAE.
Habari ID: 3475874 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/03
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Toleo la 8 la mashindano ya kimataifa ya Qur’ani ya Uturuki yanaendelea kwa kushirikisha wawakilishi kutoka nchi 49.
Habari ID: 3475868 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/02
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) –Mashindano ya 16 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Morocco yalianza Jumanne na kumalizika leo katika mji wa Casablanca magharibi mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3475850 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/28
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Waandaaji wa Mashindano ya 42 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Mfalme Abdul Aziz huko Makka, Saudi Arabia wametangazwa na kutunukiwa zawadi.
Habari ID: 3475843 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/26
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mwakilishi wa Iran katika Mashindano ya 28 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Croatia alitwaa tuzo ya juu katika kategoria ya qiraa au kisomo.
Habari ID: 3475838 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/25
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Toleo la 36 la mashindano ya kila mwaka ya Qur’ani lilizinduliwa katika sherehe katika mji wa Jos katikati mwa Nigeria.
Habari ID: 3475814 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/20
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa Kituo cha Masuala ya Qur'ani cha Shirika la Wakfu na Misaada la Iran ameeleza kushiriki kwa wananchi wa madhehebu ya Shia na Sunni kwa pamoja katika mashindano ya kitaifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni dhihirisho la umoja wa Kiislamu nchini.
Habari ID: 3475813 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/20
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly ameidhinisha mpango wa kuandaa Duru ya Sita Ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya nchi hiyo huko Port Said.
Habari ID: 3475783 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/14
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Mchujo wa duru ya 27 ya Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sheikh Jassim bin Mohammed bin Thani mwaka 2022 huko Doha, Qatar, imehudhuriwa na washindani wapatao 400.
Habari ID: 3475774 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/13
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Hatua ya awali ya Duru ya 42 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani imeanza nchini Saudi Arabia katika mji wa Makka.
Habari ID: 3475767 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/11
Mashindano ya Qurani
TEHRAN (IQNA) - Washiriki 2,130 wa kiume na wa kike wamekamilisha usajili wao kwa Mashindano ya Qur'ani ya Sheikh Jassim ya Qatar, kulingana na kamati ya maandalizi.
Habari ID: 3475752 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/08
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mashindano ya 16 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Morocco yataandaliwa baadaye mwezi huu.
Habari ID: 3475730 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/04