Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa Kituo cha Masuala ya Qur'ani cha Shirika la Wakfu na Misaada la Iran ameeleza kushiriki kwa wananchi wa madhehebu ya Shia na Sunni kwa pamoja katika mashindano ya kitaifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni dhihirisho la umoja wa Kiislamu nchini.
Habari ID: 3475813 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/20
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly ameidhinisha mpango wa kuandaa Duru ya Sita Ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya nchi hiyo huko Port Said.
Habari ID: 3475783 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/14
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Mchujo wa duru ya 27 ya Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sheikh Jassim bin Mohammed bin Thani mwaka 2022 huko Doha, Qatar, imehudhuriwa na washindani wapatao 400.
Habari ID: 3475774 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/13
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Hatua ya awali ya Duru ya 42 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani imeanza nchini Saudi Arabia katika mji wa Makka.
Habari ID: 3475767 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/11
Mashindano ya Qurani
TEHRAN (IQNA) - Washiriki 2,130 wa kiume na wa kike wamekamilisha usajili wao kwa Mashindano ya Qur'ani ya Sheikh Jassim ya Qatar, kulingana na kamati ya maandalizi.
Habari ID: 3475752 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/08
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mashindano ya 16 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Morocco yataandaliwa baadaye mwezi huu.
Habari ID: 3475730 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/04
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Toleo la sita la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wasichana litafanyika Oktoba mwaka huu kwa kushirikisha nchi 136 katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3475634 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/17
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Kuwait yataandaliwa tena mwaka huu baada ya kusitishwa kwa muda wa miaka mitatu.
Habari ID: 3475624 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/15
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Hatua ya mwisho ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu itafanyika jijini Dar es-Salaam, jiji kubwa zaidi la Tanzania, siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3475601 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/10
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Hadhrat Abbas AS katika mji wa Karbala, Iraq imeandaa mashindano ya Qur'ani Tukufu ambayo yamewashirkisha watoto na mabarobaro wa nchi tano za Kiafrika.
Habari ID: 3475489 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/11
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Mwanafunzi wa taaluma ya tiba katika Chuo Kikuu cha Alezandria nchini Misri ameshika nafasi ya kwanza katika mashindano ya kuhifadhi Qur'ani ya wasichana katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3475439 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/29
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo mashindano ya kimataifa ya Qur'ani yanayoaminika na yenye itibari zaidi duniani, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3475380 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/15
TEHRAN (IQNA) – Duru ya 10 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Libya imeanza Jumapili katika mji wa Benghazi.
Habari ID: 3475376 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/14
TEHRAN (IQNA) - Mshiriki kutoka Morocco ametwaa tuzo ya juu katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Ethiopia.
Habari ID: 3475375 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/14
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya kila mwaka ya Qur'ani Tukufu na Sunnah ya Mtume Muhammad SAW ya Afrika Magharibi yatafanyika nchini Mauritania.
Habari ID: 3475358 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/10
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Makala ya 4 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Meshkat yanatarajiwa kufanyika nchini Iran katika miezi ijayo.
Habari ID: 3475352 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/08
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Awqaf ya Misri imetangaza tuzo na masharti kwa washiriki wa Duru ya 29 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya nchi hiyo.
Habari ID: 3475337 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/05
TEHRAN (IQNA) - Baada ya miaka kadhaa ya kusimamishwa kwa sababu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, mashindano ya kimataifa ya Quran ya Libya yatafanyika tena mwaka huu.
Habari ID: 3475312 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/29
TEHRAN (IQNA)- Mahmoud Khaled Suwaid, mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Misri cha Al-Manofiyeh nchini, alishinda nafasi ya pili katika Mashindano ya Qur’ani yaliyofanyika mjini Kazan, nchini Russia.
Habari ID: 3475311 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/29
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur’ani kupitia mitandao ya kijamii yamefanyika nchini Tanzania kwa himya ya Kituo cha Utamaduni cha Iran mjini Dar es Salaam ambapo washindi wametunukiwa zawadi.
Habari ID: 3475231 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/10